Welcome to @coict_udsm research and innovation week. Meet @SwashComp_app that inspired 30,045 children championed by 669 SWASH club students & attracted 19,991 people in the social medias during pilot 2 from Jan to March 2022.Listen clip👇
@Y4CLab@MazikuHellen_@UNICEFTanzania
Tazama mashindano yalivyoleta matokeo mazuri,wanafunzi wamehamasika kujituma kwa hiari katika usafi wa vyoo vyao na mazingira.Majohe ikiongoza kuwa ya kwanza,Mchikichini ikiwa ya pili, Buguruni ya mwisho imepata sapoti ya vifaa vya usafi.@coict_udsm
@WaterAidTZ@UNICEFTanzania
Je wajua kupitia SWASH competition washindi 5 watajishindia smartphone aina ya @Infinix_Mobile smart HD. Na washiriki Kila siku wanajishindia zawadi za vocha za #vodacom#airtel#tigo etc kulingana na mtandao wa mtumiaji aliyefikia turget ya siku @JohnMbundi @TheophilAvidace
University of Dar es salaam has been playing important role in supporting innovation through its prominent innovation hubs @Y4CLab ,@UDEIC and @udictii for sustainable dev. Visit UDSM both in Dodoma at Jamhuri stadium #Makisatu2021#swashcompetitionapp#DSB@UNICEFTanzania
Unaweza kushiriki kwenye mashindano ya ili kuweza kupigia kura shule ya msingi inayofanya vzuri zaidi kwenye swala la usafi kwa kwenda play store na kupakua app yetu ya SWASH COMPETITION
https://t.co/ndINqkxSRS
Je App ya swash inapiga kura tu
app ya SWASH COMPETITION inakuwezesha kuktana na watu mbalimbali ikiwemo uliosoma na shule ya msingi na pia utakutana na wadau mbali mbali wa maendeleo katika swala hili la usafi wa vyoo mashuleni