Yesterday, we had a pleasure of welcoming Mr. Benjamin Hickler, UNICEF 's Behavioural Science Research Global Lead and UNICEF Tanzania SBC team. Interesting conversation towards enhancement of Behavioural Science in our country and beyond.
Tanzanian Girls and Women🇹🇿❤️🥂
Naleta kwenu fursa ya kujifunza na kuelewa uchambuzi wa takwimu (Data Analysis) online...If you are interested Karibuni mjisajili hapa
https://t.co/pPdtnqbgwV
NB: Usiwaze, Tutaanza from scratch, Usipange kukosa...🥰#DatagirlsTZ#DataAnalytics
I am Grateful for this initiative as one of the beneficiary 🔥 and it is the gender Gap coverage that spices it more🥳 cant wait for more #KaziIendelee#TechwomenTZ#2024Predictions
Leo tarehe 21 hadi 24 Septemba, 2023 Serikali kupitia @wizara_afyatz na @ortamisemitz inaendesha zoezi la utoaji chanjo ya Polio ya Matone kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 8 katika Mikoa sita (6) inayopakana na nchi zenye mlipuko wa Polio ambayo ni Rukwa, Kagera, Kigoma, Katavi, Songwe na Mbeya.
Kupitia zoezi hili tunatarajia kuwafikia watoto 3,250,598 waliozaliwa baada ya mwaka 2016. Chanjo hi ya matone (nOPV2) inatolewa ili kuwakinga watoto dhidi ya Kirusi cha Polio aina ya pili (Polio Virus Type 2) kinachoweza kusababisha ulemavu wa kudumu.
Tumeandaa timu za watoa huduma za afya za watu watatu watatu ambapo zina jumla ya watoa huduma 5,291 waliopo kwenye Mikoa yote sita (6) inayolengwa.
Nitoe rai kwa wazazi na walezi kutoa ushirikiano kwa watoa huduma za afya ili kuwezesha watoto wote walengwa kupata Chanjo hii.
#KingaNiBoraKulikoTiba #MpeMatoneOkoaMaisha
What if...
Leo umepewa another day, not because you need it but because kuna mtu anakuhitaji wewe bado uendelee kuwepo?
May God continue to use us for his glory!
Have a blessed Wednesday x
Monitoring & evaluation is key to help measure progress & impact of #FurahaTeens#parenting program to ensure we’re on track to meet our goals. Rachel from @UNICEFTanzania capacitates the facilitators on #digital M&E tools for collecting #data on the program. #skillsdevelopment
Mtuhumiwa wa mauaji Kigoma amekamatwa chanzo kikitajwa kuwa afya ya akili, @masoudkipanya akisisitiza inapaswa kuitwa changamoto ya afya akili.
Nini maoni yako kuhusu ongezeko la visa vya mauaji ya kikatili? Sentro iko hewani na @babbiekabae@barbarahassan kupitia CloudsTV
Human centered design is at the heart of how we address customers challenges towards achieving much needed innovative solutions.
Our hubs @udictii and @Y4CLab are providing resources that ensure that #Tanzania youth get opportunities to fulfil their dreams.
Team fighters at the 6th UDSM Research and innovation week 🔥🔥
Exhibiting the "Child violence awareness and reporting system" @hellenMaziku@UNICEFTanzania @coict_udsm
Some of the students from Mlimani primary school trying the mobille game application that will help in increase awareness and reporting child violence cases.
Shown to them by some of the team representatives from @Y4CLab and @coict_udsm. @UNICEFTanzania