BoT yatoa elimu kuhusu kazi zake kwa wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo cha Usimamizi wa Fedha na Shule za Sekondari za Mbezi Inn na Twiga za jijini Dar es Salaam na Shule ya Sekondari Ashira ya mkoani Kilimanjaro, walipofanya ziara ya kimasomo BoT Dar es Salaam.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, amekabidhiwa ofisi rasmi na Gavana Mstaafu, Prof. Florens Luoga leo jijini Dodoma. Tukio hilo limeshuhudiwa na Manaibu Gavana, Bw. Julian Banzi Raphael (kushoto) na Bi. Sauda Kassim Msemo (kulia).
Our amazing Alliance4ai Futuremakers project team members had a crunch on some code to learn and skill up.
The individuals and teams were able to work on a solution for a Financial loan prediction challenge and pitch it to the team of judges. (1/2)
JUST IN..!
Picha mbalimbali zikionesha washindi wa #SWASHCompetition, wakiwa pamoja na zawadi walizopatiwa baada ya kuibuka vinara wa Usafi wa Vyoo kwa shule shiriki kutoka Wilaya ya Ilala.
@coict_udsm @UNICEFTanzania@Y4CLab
Social good innovation.
The #SWASHcompetition aims to instill good sanitation habits in primary school students. @Y4CLab created a platfom to facilitate this competition-driven initiative. It's exciting to see so many schools participating, learning and push for #change.
One of #SWASHcompetition objectives is to motivate students to like cleaning. Therefore, Buguruni P/S which became the last b'se of their poor toilet infrastructures, will receive cleanliness tools as part of support
@coict_udsm @UNICEFTanzania@Amref_Worldwide@hellenMaziku
Every Tuesday the Youth for Children Innovation Hub conducts interactive workshops sessions. And this Tuesday we had a workshop concerning Google's Smart Canvas and Mote.
Our technical trainner was Blessing Rweikiza.
#innovation#Google#coict#UNICEFTanzania