Tazama mashindano yalivyoleta matokeo mazuri,wanafunzi wamehamasika kujituma kwa hiari katika usafi wa vyoo vyao na mazingira.Majohe ikiongoza kuwa ya kwanza,Mchikichini ikiwa ya pili, Buguruni ya mwisho imepata sapoti ya vifaa vya usafi.@coict_udsm
@WaterAidTZ@UNICEFTanzania
Ndani ya shindano hili kuna zawadi mbalimbali cha kwanza kabisa kuna zawadi kwa shule zitakazofanya vzuri zaidi watapata vifaa vya usafi kwenye shule zao
pia kuna zawadi za papo kwa hapo kwa wale wapiga kura watapata vocha za papo kwa hapo
Je unasubiri nini download app ya SWASH
Je App ya swash inapiga kura tu
app ya SWASH COMPETITION inakuwezesha kuktana na watu mbalimbali ikiwemo uliosoma na shule ya msingi na pia utakutana na wadau mbali mbali wa maendeleo katika swala hili la usafi wa vyoo mashuleni
Unaweza kushiriki kwenye mashindano ya ili kuweza kupigia kura shule ya msingi inayofanya vzuri zaidi kwenye swala la usafi kwa kwenda play store na kupakua app yetu ya SWASH COMPETITION
https://t.co/ndINqkxSRS
University of Dar es salaam has been playing important role in supporting innovation through its prominent innovation hubs @Y4CLab ,@UDEIC and @udictii for sustainable dev. Visit UDSM both in Dodoma at Jamhuri stadium #Makisatu2021#swashcompetitionapp#DSB@UNICEFTanzania
Je wajua kupitia SWASH competition washindi 5 watajishindia smartphone aina ya @Infinix_Mobile smart HD. Na washiriki Kila siku wanajishindia zawadi za vocha za #vodacom#airtel#tigo etc kulingana na mtandao wa mtumiaji aliyefikia turget ya siku @JohnMbundi @TheophilAvidace
Je unamjua WASH ambassador namba moja aliyeshinda SWASH competition? Basi ndiye Gabriel Sixbert,tazama akipokea cheti cha heshima ya kuwa balozi wa usafi @udsm_coict@hellenMaziku@WaterAidTZ@AmrefTanzania