TAARIFA MUHIMU:
Mh @TunduALissu amewasilisha barua rasmi ya kutia nia ya kuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Ndani ya siku 3 zijazo, Mh Lissu atazungumza na Watanzania na Jumuiya za Kimataifa juu ya nia yake hio.
Stay tuned.
Karne hii, nchi zilizostaarabika na nchi za kidemokrasia zinaondoa kinga walizojiwekea marais madikteta waliotumia ofisi za umma kukandamiza watu ili waweze kushitakiwa.. leo bunge linataka kujadili kuongeza idadi ya watu wasioweza kushitakiwa wakitumia madaraka yao vibaya. Shame