@millardayo Muziki wake ulikua mkubwa sana miaka ya 2000 alitakiwa awe ame invest kwenye vitu vingine ambavyo vingempa
Hela uzeeni sasa saiz kawa mzee atapambana na kazi za mziki? stejini mpaka saa nane usiku?
@X it's now a time to unlock a Standard free accounts from posting 280 characters, this feature is insane, standard accounts are limited to 280 characters per post or reply till today??? Pls amend this, make it twice as much
@MsigwaGerson Serikal muache kukamua wananchi kodi za hovyo maisha yameshapanda gharama mafuta ni +4200 lita TRA makadirio yao ya kodi yako pale pale, kwanini wasikadirie kwa kupungua pia? Na wakikusanya hela zinaliwa na wezi na CAG report haifanyiwi kazi kuwatapisha hao wezi waliokula hela?