@kundinyamvi@EsirEid@OriginoZee17 Kama ambavyo Kosa halifutwi kwa kosa basi hata dhambi haifutwi kwa dhambi . . . .japo dhambi Moja huweza kuzaa nyingine. So kukaa mbali na dhambi zote hyo ndo suluhu lkn tukpewa swala na Toba.
@EsirEid@OriginoZee17 Wanakamsemo chao siku hz kuwa nyie nguruwe haramu lkn zinaa halali,au pombe halali huwaambia vyote haramu lkn haimaanishi Kila kwenye dhambi uwemo nyingine zkupite tu na tutaendelea kushikilia pale pale kama haramu ni haramu tuu
@kirambaukwaju Najarib kufikiria nje ya box ya kwamba Chadema let's say Heche ana back ya kanisa hususani baada ya kuamua kutoka hadharani kama vile baada ya tamko la kanisa?!! Maan kama mwenzake alishanyolewa ilibid zake atie maji lakn ameamua kukaza huu ujasiri kautoa wapi?!! Mtazamo tuu
@Addy_Adams Samia ni jina lilitoholewa huko kwa Waarabu na maana yake mwenye kusikia,ni sawa na mtu kuitwa swabra mwenye kusubiri,so ni kweli lazma tutaje hyo Samia lkn sio kwa Nia ya kumtaja Rais pale tunaomba Dua so aache uzwazwa wa kuwapotosha watu
@EsirEid vipi kuhusu ujuzi? iwe miaka 4 ambayo akitoka awezekuwa na ujuzi hata wa elctronics kama sio seremala,akishindwa kujiajiri aweze kujienelez hata kwa vkundi wpate mikopo maan huku mtaan wanakimbilia kuimba singeli na kuwa madansa tu
@Sirjeff_D Tunaeza kuuliza Kwan umasikini wee wauchukia kwa nn na utajiri kwa nn waupenda?!! Na dhana vtu hv viwili kwako ni nn?!! Basi utapata jibu la shetani
@Sirjeff_D Wenzetu wanapo discuss haya mambo Kuna kitu wanasema people's opinion ama voice wanajali sana Hilo,huku ktk kulizungumzia suala Hilo hakuna kinachobadilika Kila siku mambo,wachache wenye nacho waendelee kuongezewa wengi wasonacho waendelee kudhulumiwa damu ndo suluhisho ya haya
@ChiefLumanyika Uzuri dini ya Allah yenyewe inajiendesha wenye kuutaka ukweli wanaupata na wanaingia mamia kwa mamia haijawah na haitowahi kushuka kwa watu wenye utapiamlo WA akili kama wewe
Nlisafir kwenda Mombasa nikakutana na Sheikh Mohammed Rashid ktk mazungumzo yetu juu ya ndoa akanipa mkasa wa Balqis kuwa alikuwa mke wa Firauni na alitajwa ktk Qur an kuwa mwanamke Bora,akanambia yule walioana wapi na Firauni sheikh gan aliwaozesha?! Mungu alitambuaje ndoa Yao
@EsirEid@SLello47 Hata enzi za Mtume kabla ya vita kulikuwa Kuna wale washairi wa kusifu jeshi na Mtume pamoja na kutetea kwa Hoja wee sasa ni Mmoja wapo๐๐๐๐
@EsirEid@KINGLUDA18 Hili swali nililiuliza msikitini sheikh alieka kipindi Cha maswali na majibu kama wanavyohangaika Hawa yule bwana alishindwa alisema tu wanawatusi maswahaba na Mtume so adui wa Mtume na Jibril hao ni maadui wa Allah Shia ktk Hilo wamejiondoaa ktk Uislamu
@EsirEid Suala la kujipanga upya hata mm litanifanya nirudi kundin maan nlishaeka Nia ya kutokwenda kupiga kura mwaka huu so sikushughulika na lolote picha linaonekana tu mama anarud madarakan huku mnawarudisha Kila Slaaa?!!!! Kwa hili at least maji na mafuta vitajitenga mapema tu