@lewis_FN1108 Ukisom lwenye kamusi ya kiswahili ya TUKI, neno "bodaboda" lina maana ya baisikeli au pikipiki inayotumiwa kusafirisha abiria au mizigo, na wakati mwingine humtaja pia dereva au mwendeshaji wa chombo hicho. Ahsante
@iamcity__@dicksonjemz@mTusiOriginal SIO KWELI, hamna hyo kitu pesa itaingia kwenye akaunti na mahojiano yatakuja baadae kwenye kutaka kuitoa hyo hela. Am talking from experience.