Jumapili ijayo tutakuwa katika parokia ya Magomeni ambapo tutakuwa na mawakili na wanasheria mbalimbali katika kuendeleza programu hii. Ni malengo yetu kufikia watu wengi tuwezavyo.
#LegalAid#SundaylegalAid#SheriaPoa
Wanasheria wetu @pasiansi na wengine wakiwa katika kuoa huduma ya msaada wa kisheria katika parokia ya Mburahati. Gazeti la @MwananchiNews tarehe 21, Novemba 2024
Programu hii ya huduma ya Msaada wa kisheria katika parokia mbalimbali ni endelevu na imelenga kuwafikia wananchi katika parokia hizo na wanaozunguka parokia husika.
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa niaba ya Wabunge anaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa waathirika wa ajali ya kuanguka kwa Jengo la Biashara Kariakoo, Dar es Salaam.
Today marks the World Day for the Prevention and Healing of Child Sexual Exploitation. At LSF, we stand united in the fight to protect children from abuse, ensuring they grow up in safe, nurturing environments. We believe in amplifying the voices of survivors, supporting legal aid, and strengthening systems to end this grave violation. Together, we can prevent exploitation and promote healing. Let’s protect our children’s future—today and every day.
#EndChildSexualExploitation #PreventionAndHealing #ChildProtection #LSF
Mkurugenzi wetu @RogersFungo akiwa anateta neno na Baba Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu Mburahati wakati wa kutoa huduma ya msaada wa kisheria katika parokia hii.
#SheriaPoa#LegalAid
Diversity is a strength, not a threat.
On Saturday's #ToleranceDay & every day, let’s embrace tolerance, respect for diversity, and understanding —values that unite us and make us stronger.
https://t.co/oaM4NorBad