Kila unapokuwa katika nafasi ya kumsaidia mtu, Furahi na fanya hivyo kila wakati maana huyo ni MUNGU anajibu maombi ya mtu mwingine kupitia wewe..ย #FurahaYetuNiPesa๐ฐ
Mabaya yote tunayokutana nayo kwenye maisha yetu, Iwe ufukara mkubwa ulionao, Iwe misiba mikubwa iliyowahi kukumba, Iwe ugonjwa unaopitia n.k. Haya yote kwako siyo ya kudumu, labda kama wewe wenyewe uyafanye yawe yadumu. #Hustler#FurahaYetuNiPesa๐ฐ
Baba ni Baba tu!
Hatakama hajakupa kile unachokita lakini siku zote atabaki kuwa Baba.
๐๐๐ฉ๐ฉ๐ฒ ๐ ๐๐ญ๐ก๐๐ซ'๐ฌ
16๐ญ๐ก ๐๐ฎ๐ง๐ 2024
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐
Hivi ni njia gani sahihi ya kumpata mchumba aliye sahihi wa maisha! ๐
.
๐๐๐ฉ๐ฉ๐ฒ๐๐ฎ๐ง๐๐๐ฒ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐
SIR GOD,
Ni siku nyingine tena, WANALUNYASI tunaileta mbele zako, imani na tegemeo letu la kupata points 3 muhimu leo dhidi ya mtani wetu AMPHIBIA liko kwako. Amen ๐๐ผ
Goodluck my team @SimbaSCTanzania#NguvuMoja๐ช
@goligani#FurahaYetuNiPesa