#ShilingiDondoo
Haba na haba ujaza kibaba.
Hatua moja baada ya nyingine.
Sio lazima uwe vizuri ndio uanze, ila unaweza kuanza na ukawa vizuri.
#ShilingiNetwork https://t.co/7us6cApaeQ
Capital Markets and Securities Authority "CMSA" / Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana.
Ni wakala wa serikali katika kukuza na kusimamia dhamana za biashara ndani ya Tanzania.
Ilianzishwa chini ya mamlaka ya… https://t.co/SXYWZhy1fe
Apple imekuwa kampuni ya kwanza kufika thamani ya $ Trilioni 2 katika see soko.
Agosti 2018 Apple alifikia thamani ya $ Trilioni 1 katika soko.
Pia haikuchukua muda kwa kampuni zingine Kama Amazon, Microsoft na… https://t.co/ClNYfaBbJS
#ShilingiMichezo
Naomi Osaka ndio mwanamichezo wa kike anayelipwa zaidi , Jumla ameingiza $ Milioni 37.4 na $ Milioni 34 ya matangazo.
Kwa wachezaji wote wa tenisi Roger Federer pekee ndio ameingiza pesa zaidi ya… https://t.co/g4dMg5Ikqb
Viatu vilivyovaliwa na mchezaji wa basketball wa muda wote Michael Jordan vyauzwa $ 615,000 (Tsh Bilioni 1.4) katika mnada mtandaoni Alhamisi.
Nike Air Jordan 1 High vilitumika na Nyota huyo wa Chicago Bulls katika… https://t.co/hR9zu81TVo
Do you have any genuine friends? Those who are not driven by money, status, and ego? To be honest, it gets harder to find such people in this day and age. They exist but are few and far between. So if you know one, you’re truly blessed. Respect them. Keep them close.
There’s no need to panic about #coronavirus but there’s a need to be intelligent & take precautions. There’s so much information out there & it’s easy to get overwhelmed. Keep it simple. The basics hold true. Stay alert & vigilant. Look out for others. That’s the best way to be!
Don’t sit around & wait for things to happen. Get up & do! Work on something that will help you move forward in life; that will make you a better person, more caring, more compassionate, more selfless & more importantly leaving a mark of goodness and kindness wherever you go!