@mshambuliaji Sema nyie waandishi ni watu wapumbavu sana. Yaani mnaweza ku-report habari za Bangkok Thailand ila hamuwezi kuripoti habari za Tanzania za watu kupigwa marisasi
@ze_mandevu Iko hivi, serikali ya sasa haipendwi na watu. Sasa, ili chama kipate mgombea strong 2030 inabidi mtu mmoja ajifanye hakubaliani na wenzake ndani ya chama. Wananchi watamuona mtu huyu ni mwenzao.
To cut a long story short ni kwamba, hii ni script