@hancymachemba Yani kipindi hicho hata ukipita mtaani huwizi ukapita nyumba mbili tatu bila kusikia watu wanafatilia bunge kwenye TV mimi nilikuwa kama cna dili daanza nalo kipindi cha maswali na majibu
Tajiri Saidi Rugumi kasema jambo la muhimu hapa ili ufanikiwe kwenye maisha 🗣️
" Ukitaka kufanikiwa Kwenye maisha yako hakikisha hau dhulumu cha mtu, iwe pesa au mali, na kwenye utafutaji usilazimishe jambo ambalo Mungu ambalo hajakupangia nalo na hio ndo makosa ya waTanzania wengi wanalolifanya au vijana wengi au kufanya vitu kwa kuiga "
Wakuu usiache kuomba ipo Siku usiyoijua milango ya riziki kubwa na baraka kubwa na mwanzo wa maisha mapya utaanza
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando amesema elimu zinazotolewa katika vipindi mbalimbali zinawafundisha wanawake namna ya kupambana na wanaume zao ndani ya familia.
DAR: Mchora Katuni ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV, Masoud Kipanya ametoa kauli hiyo Mei 15, 2026 akieleza mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
Je, Uhuru wa Habari utakuwa hatiani kulingana na mgongano huo wa kimaslahi? Nini maoni yako Mdau?
Zaidi bofya https://t.co/xJDzi6VGsr
#JamiiForums #Uwajibikaji #Siasa
Video: Tell A Vision