@ComradeKawaida Ujinga ni kutojua tafsiri ya machozi
Nikupe darasa:
1.Chozi si kitu cha kuigiza labda uweke pilipili au kemikali nje na hapo hutokana na hisia kuguswa na jambo linalotia uchungu na huo ni ubinadamu unless uwe na roho mbaya kama ww
2.Machoz husaidia kuondoa au kupunguza machungu
Niliwahi kuwa na account ya Bank fulani, lakini sikuwa naweza kuihudumia, sina cha kudeposit wala kufanya transaction yoyote ile hadi account inakuwa dormant.
Nikataka kuipotezea kabisa niifunge niachane nayo.
Jamaa angu akanishauri usiifunge, pambana weka hata liten iwe tu active!
Huwezi jua kuna siku itakufaa utaihitaji sana!
Nikafanya hivyo!!
Kuna siku nikapigiwa simu na rafiki wa zamani akaniambia amepiga mshindo anashida na account ya bank aingiziwe hela humo!!
Ilikuwa ni 150M na akasema kama nina account basi mimi nitaokota 10% ya hiyo deposit.
Nikafanya hivyo nikavuta 15M shwaaa!!
Nikajisemea moyoni Asiefaa kafaa!
Mungu sio Hashim Rungwe!!😁
Hii Tweet Haihusiani Na Account Ya Bank
KAMA UMESOMA CUBA!!
Nimesikia kauli ya Rais leo, kwa masikitiko makubwa niseme, Kuteka watu, kuua watu na kuwapa watu kesi za uongo sio mambo ya ndani ya Nchi.
Dunia hii haiwezi kunyamazia uovu na matendo ya kidhalimu, Dunia haikunyamazia uovu wa makaburu kule Afrika kusini. Dunia haitanyamaza dhidi ya mtu yeyote anaekiuka haki za binadamu.
@Jambotv_ Yan twende kupiga kura halafu muamuzi wa kura zetu awe polisi na watendaji wako ?tukihoji tupigwe,tuuawe,tuwekwe jela bora kutoshiriki kabisa ili nyie ccm mjiweke madarakani bila bugdha na sisi angalau tuepuke vipigo na vifo
@ExMayorUbungo Tunakuamini,tunakuelewa mtu usieyumbishwa na utapeli wa kisiasa.
Nakumbuka ulikua tayari usiwe Mayor lakini ulinde heshma yako na chama na imani wa wananchi,itakua hili kinaloonekana hata kuku wanaelewa game inayoendelea....
PWANI IPO SALAMA...!
Leo, Mei 16, 2025, Katibu wa Kanda ya Pwani ameongoza kikao kazi maalum kilichowakutanisha Wenyeviti na Makatibu kutoka ngazi za Mikoa na Wilaya/Majimbo .
Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili na kupokea taarifa za maandalizi ya wanachama kuudhuria Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mh.Tundu Lissu.
@GraceShio03@HecheJohn@jjmnyika@AishaSMadoga Hakuna sababu zozote za msingi zaidi ya team yao kuamua kujiondoa kwenda chama kipya cha chauma ili wakaendelee kuwa viongozi,kifupi hao wengine wamefuata team yao ambayo kuishi bila vyeo hawawezi
Kwa sababu hiyo mm nafurahi tumeyajua mengi yaliyojificha muda mrefu