@jwderB@Labella_Mafia95 Harafu pia we ushawah hona mwanamk anaend tu baa mwenyew na kukosa mtu .
Yan hao wenzako wana watu wao broo
Ohoooo we endelea kusindikiz kwa macho tu
@jwderB@Labella_Mafia95 Wwe uyoo sio hazi yako ndomana unamuon mgumu aise kuna watu hapo hawaongei sana broo na demu mwenyew anaend kula mti vizur tuuuu?
Wwe maskin jeur kaa pemben
Leo ni masaa 48 tangu tupate taarifa za uwepo wa kitendo cha kinyama alichofanyiwa yule dada.
Huyu MFILAJI ameshajulikana majina yake, namba zake za simu, kituo chake cha kazi ila bado kupo kimya.
CHAULA aliechoma picha ya Raisi ilichukua siku 2 kumkamata na kumfunga gerezani.
Hawa WAFILAJI na WABAKAJI wapo juu ya sheria? Kwanini tunaongea zaidi ya masaa 48 hatusikilizwi?
Afande yule dada aliewakodi hawa WAFILAJI nae bado hakuna taarifa tuliyopata juu ya ukatili aliotenda.
Kama mnahisi tutachoka kuuliza Poleni, hii itaenda kama DOZI kutwa mara 3. Tembeza huu ujumbe GEN - Z wote hatupo salama.
Repost 300 za kwanzia.
@FatumaCute Somo la sayansi hili ktk lile somo la chura wanavyo pandiana yeye ndo hawe chura jike na mimi dume .. harafu kwambar tuwe tunaskia chura analuka luka chura
Ni nchi gani wanavaa hivi
Tunaposema followers ni muhimu mshushe handle ili mpate free blue tiki....angalau watu mtaelewa sasa kwanini tunatafuta follower