Mara Mutambala asiwepo kabisa kikosini na kama hakuna kitu vile, mara leo aanze Sureboy kisha Mkude atokee bench, mara Aucho arejee acheze kama alikuwa fit kwa asilimia zote, mara Dickson Job asiwepo kabisa na hakuna shida, mara Gift Fred acheze mbili na ghafla huelewi Kibwana kama ni Winga ama Beki, mara leo Staa awe Aziz Ki mara kesho ni Clement Mzize.
Mara Maxi atokee kati mara pembeni, mara Kibabage awe kati, Mara unaambiwa Kouassi Yao Yao yupo zake majeruhi na kama hakuna kitu vile, mara uchungulie na ugundue kuwa Pacome Zouzoua hayupo kikosini na ni fresh tu timu inacheza, mara hivi mara vile ila Wananchi tu wameamua kutuvuruga! Wahuni tu hawa๐
Mara ohoo Wananchi wananunua mechi, mara ohoo wale tawi lao, mara hivi mara vile lakini mpira ni ule ule dhidi ya timu yoyote ile Afrika! Basi tu mara hivi mara vile, wapo tu imara.
Mara mnaulizana nani anafuatia??___๐
Tunzaa App ndani ya M-Pesa App
Makala fupi ikionyesha safari ya ujenzi wa Tunzaa Mini-App, na Jinsi unaweza kupata huduma za Tunzaa ukiwa ya ndani ya M-Pesa App.
Muunganiko huu wa Tunzaa na @vodacomtanzania unawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pesa kuweza kufanya manunuzi ya bidhaa wanazohitaji kwa kuzilipia kidogo kidogo ndani ya miezi sita`kupitia Tunzaa App iliyopo ndani ya M-Pesa App.
#NdaniKwaNdani #NunuaTunzaa
Extremely poor customer service from Standard Chartered TZ. Calling their customer care only to get disconnected for weeks! SMH. @jessen_mutta @ShirimaNderingo please tag their handle can't get it online