Leo naingia Gym moja town kati nikakutana na Wanajeshi watatu wa Israel(Wakiume wawili na wakike mmoja).
Story mbili tatu wakataka bato la tizi. Jamaa wamenipigisha tizi la TUMBO hadi nikaona Malaika mtoa roho yupo karibu.
Sema sifa wepesi wakali, Wabongo tumeumbiwa shida.
Kama unaweza kusaidia watu, kufundisha watu au kuburudisha watu kwa contents zako.
Una nafasi kwenye creator economy.
Na sisi @Nisapoti_Africa tunakufungulia dunia ya kutengeneza kipato kutokana na value unatoa kwa audience yako.
JENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NA DRB BUILDERS*~_
Kwa ramani za● nyumba● ujenzi ●ushauri ● na tathimini/Boq●karibu tukuhudumie .
ushauri kuhusu ujenzi ni bure.
Whatsap&call 0759215273
🔘 karibu tukuhudumie
🔥 OFFER Tsh.100,000/=
#2.4G Wireless Gamepad Controller 🎮
✔️ Games 10,000+ tayari kucheza
✔️ Plug & Play kwenye TV, PC & Android Box
✔️ Wireless full control kwa football, action & classic games
✔️ Inafaa watoto na watu wazima
Likizo hii, mpe mwanao burudani. 😎
Shida zitakuwa chujio sahihi la mtu kujua wema na wabaya wako..
Huyu ni mtu ambae hapo kabla nilimuona adui yangu na nilijitahidi sana kuwa nae mbali kibiashara.
💔 Leo hii yeye ndio mtu alierudisha matumaini yangu kipindi ambacho nimekaribia kukata tamaa.. MUNGU NISAMEHE 🙏🏽