@JonMrema John Mrema tulia na CHAUMMA yako. Kwani tofauti yako na Madeleka ni ipi, maana wote ni walamba asali ya CCM. Wewe Mrema umekimbilia CHAUMMA (CCM "C") na Madeleka amekimbilia ACT - Wazalendo (CCM "B"), tofauti yake ipo wapi?
@Jambotv_ Uongozi wa Zamani wa CHADEMA ungeendelea kwenye Uongozi mpaka Sasa hivi CHADEMA ingekuwa ni "nyumba ya Futuhi" tuu. Isingeweza kuaminiwa na Wananchi kama ilivyo Sasa hivi. Chama Cha Ubwabwa (CHAUMMA) hongera kwa kupata "wanachama makapi" kutoka CHADEMA!
@Mwanahalisitz Ila Wakili Peter Madeleka umejidharirisha sana. "Anyway" toka ulipoanza kutembelea Magereza mbali mbali nchini tulianza kutilia shaka msimamo wako wa kisiasa. Wapo walioamini umelamba asali na Sasa imejidhirisha maana ACT Wazalendo ni CCM "B".
@CatherineRuge Hatutaki chama Cha Siasa ambacho hakina msimamo. Ngoma ikipigwa CCM CHAUMMA inakwenda kucheza, vile vile Ngoma ikipigwa na vyama vya Upinzani CHAUMMA inakwenda kucheza. Labda msimamo wako ni kupokea "makapi" kutoka CHADEMA! CHAUMMA Oyeeee!
@Sativa255 Hivi kwa nini hawakwenda kuanzisha chama chao Cha Siasa? Hapo CHAUMMA wanajidharirisha tuu. Mtu umetoka chama kikubwa Cha Siasa kama CHADEMA unakwenda CHAUMMA?
@MosesMussoline@mangekimambi Kwenye mambo ya Fedha, kunapokua tofauti kati ya kiasi kilichoandikwa kwa talakimu na kilichoandikwa kwa maneno, kiasi kinacholipwa ni kile kilichoandikwa kwa maneno.
@OleMtetezi Hakuna " Muasisi wa CDM" wa aina yake ambaye hata kutofautisha nyakati ameshindwa. Huyu ni "Msaliti" kama wasaliti wengine TU. Hana ujabali wo wote kwenye Siasa. Huyu amesomea " Book- Keeping" Wacha aende huko kutunza vitabu vya CHAUMMA au CCM.
@HopeQuotes__ Hivi Deus Sangu amebadilika na kuwa na kiburi hivi? Uchaguzi wa mwaka huu 2025 atagalagazwa. Yaani kupata ushindi kwa ubabe wa Mwendazake ndiyo imempa kiburi hivyo?. Wapiga kura wa Majimbo ya Mikoani huwa hawaogopi mambo ya kutishana, wengi wao hata TISS hawajui ni kitu gani.
@Eric__Bernard@ummymwalimu Halafu anajifanya amechangia maendeleo ya Elimu. Hata M/kiti wa CCM - Mkoa anapigishwa kwata ya kusimama karibu na Mashine ya Photocopy ili picha ichukuliwe na kupakiwa kwenye Mitandao ya Kijamii! Ama kweli sijui Tanga tumelogwa na nani?
@Jambotv_ Huyo aliyembeba Mbunge Salim He asham alitakiwa akifika kwenye kina kirefu Cha maji amdondoshe. Mbunge ameshindwa kupambana wajenge daraja anadandia migongo ya watu ili avushwe.