Kwako @godbless_lema
Nchi yetu bado inaomboleza msiba wa Oktoba 29 kwasababu mpaka sasa hakuna dalili hata robo za uwajibikaji juu ya watu walioua ndugu zetu.
Sasa unawezaje kumwambia
“Let’s Love Lead, Mama!..”
Mtu ambae ameua kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi, akaona haitoshi akaiba maelfu ya miili ya Ndugu zetu akaenda kuizika kama mizoga kwenye makaburi ya halaiki.???
Halafu mtu huyo huyo (Nduli Idd Amin Mama) bila aibu wala huruma akaja hadharani na kuanza kukejeli ndugu zetu aliowaua, akasema Polisi walikuwa sahihi kuua ndugu zetu kwa risasi.
Umejaribu hata kufikiria familia ambazo wapendwa wao waliuwawa Oktoba 29, 2025 wengine hawakubahatika hata kuona miili ya wapendwa wao hadi leo, wakalazimika kuzika nguo, Je wakisoma hiyo post yako unadhan wanajisikiaje????
Tangu 2021 alipoingia madarani Nduli Idd Amin Mama huyu ambae unamwambia
“Let’s Love Lead, Mama!..”
hadi leo, ameteka na kupoteza watu zaidi ya 400 na bado anaendelea kuteka, kati ya hao waliotekwa wengine ni wapambanaji wenzetu ambao tulikuwa nao mstari wa mbele Deusdedith Soka, Mdude, Dionizi Kipanya, Juma Kaswahili, Aman Manengelo, Mbeshi Paul, Ally Kibao, Jacob Mlay, Injili Iponyayo Roho, Abednego, Humphrey Polepole, Daniel Chonchorio na wengine wengi list ni ndefu sana.
Je familia zao zikisoma huo ujumbe wako unadhani wanajisikiaje, yani Bibi ake Soka au mke na watoto wa Mdude au Mama ake Humphrey Polepole, Mke na Watoto wa Ally Kibao wakisoma ujumbe wako unadhan wanajisikiaje???
ASILIMIA KUBWA YA WANANCHI HAWANA UWEZO WA KUTOFAUTISHA SARCASM NA REAL STATEMENTS. Mimi mwenyewe mwanzo nilichukulia statement za Lissu kama sarcasm/kejeli until Lema alipokuja na hili gazeti laki chawa usiku huu.
Viongozi wa upinzani waongee what they mean, wasitupe kazi za kutafuta sarcasm kwenye statement zao.
Sisi tulivyouliwa mbona wao hawakutupa hata pole ya sarcasm? walikuwa straight forward kuwa tume deserve kuuliwa. Sasa leo wao wanafiwa sisi tunawapa pole za sarcasm ili iweje? Inasaidia nini kama sio ku confuse wananchi???
Jamani kama kuna mtu huko CHADEMA anaewashwa kwenda Kizimkazi kutoa pole kwa faida yake binafsi aende na awe straight forward. Ila hatuna ubongo wa kupoteza kujaribu ku understand sarcasm kwenye kipindi hiki kigumu.
Badala ya kupambana na wauwaji tuko hapa tunagombana wenyewe kwa wenyewe sababu ya kuelewa au kutokuelewa statement za kumaanisha na za kejeli/sarcasm, kwanini Chadema mtuweke kwenye hii position. ONGEENI WHAT YOU MEAN AND IN SIMPLE TERMS KWA WANANCHI.
CHADEMA mkipataga tu full support ya Watanzania huwa mnaanzaga kuwashwa kama hivi kuwa confuse Watanzania. Alafu Watanzania wakiwapotezea mnaanza kulalamika oh hawako tayari kudai haki.
Wakiwa tayari kudai haki mnaanza ungese kama huu.
PUMBAV KABISA!!!!
Sijui kama Serikali inaona hatari hii. Mimi naiona. Tunapofanya “easy jobs” kama boda boda kuwa suluhisho kuu la ajira, tunaanza kupoteza skills muhimu zinazojenga taifa na uchumi.
Binafsi nina experience uhaba wa mafundi wazuri wa magari, plumbers, electricians, welders na mafundi ujenzi sana siku hizi. Tukiacha trend hii iendelee, kesho tunaweza kulazimika kuagiza mafundi kutoka nchi jirani kufanya kazi ambazo vijana wetu walipaswa kuwa wamefundishwa.
Wakati huo huo, boda boda zina gharama kubwa kwa taifa kupitia ajali, ulemavu, vifo na kupoteza nguvu kazi.
Tatizo si kijana kuendesha boda boda. Tatizo ni pale “easy option & cheap option” inapogeuzwa kuwa mfumo wa maisha, huku technical skills zikiachwa nyuma.
Serikali ibadili mwelekeo sasa, iwekeze kwa nguvu kwenye vocational training, apprenticeships na technical skills zenye tija na kipato.
Tusije tukawa na vijana wengi wanaotafuta ku-survive leo, lakini kesho tukakosa watu wa kujenga, kutengeneza na kuendesha uchumi wa nchi.
Thank you, @TechCabal.
But I would like to clarify something: I am not an influencer. I stopped being an influencer and became a full time activist about two years ago.
For many years, I moved between being an activist and an influencer, depending on what was happening in my native country, Tanzania. But for the past two years, I have dedicated myself fully to activism, and that is what I intend to do for the rest of my life, or until Tanzania is free from mass killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, fabricated treason charges, forced disappearances, sexual torture, and the silencing of the media.
I will continue this fight until Tanzanians are truly free to exercise their democratic rights, to vote freely and fairly, and to choose their own political party, parliament, and president.
This is no longer a phase or a platform for me. It is a commitment to my native country and to its people.
https://t.co/ncJ7zqkVHt