Akati unaskiizia issue zingine zi tick (ambazo zinaeza zisi tick pia) niko hapa kukwambia kuna Scholarships ya EU
Serikali ya Poland imetangaza scholarships kwa mwaka mpya wa masomo 23/24. Ziko full funded kabisa. Ni Masters/PhD preferably kozi zote
Retweets 100 niendelee 😁
WhatsApp Marketing Bado ni "OVERLOOKED" Niche Hapa Kwetu
Lakini...
DATA zinaonesha ni Niche inayokuwa Kwa KASI Mno Kulingana na Idadi ya Watumiaji
Unaweza Kuuza Bidhaa/Huduma yako Kupitia
1). WhatsApp Groups
2). WhatsApp Status
3). Broadcast list
Nk
KUELIMISHA WATU NI NJIA RAHISI YA KUUZA KULIKO KUWEKA MATANZGAZO…📢
Acha kutangaza kuwa MTAALAM na anza kuingiza kipato kupitia utaalam wako.
ACHA kuwa mtupia matangazo na kuwa MTAALAM ili watu wanunue kwako bila maswali.
RETWEET Wengi Wajifunze...🙏
Uzii...🧵
Unga wa mizizi ya mlonge
Mlonge Wachina wanaita La Mu
Wahindi wanaita #Sahjan
Unaonaje tweet hii ikawafikia watu laki 1 kwa RT yako
Maarifa haya yanahitaji support yako kubwa maana ni ya muhimu sana kwa watu wote
Nakuomba sana RT
Tuendelee sasa #TibaAsiliNiMaisha 👇
Soma Hii Kama Unataka Kuwa MWANDISHI Mzuri Mtandaoni...
.
Kama una Ndoto za Kuwa Mwandishi Mzuri Mtandaoni...basi Zijue Siri Hizi 9 Zinazotumiwa na 3% Tu ya waandishi Nguli Duniani...
(Kabla Hujaendelea Hakikisha Unabofya Kwanza neno RETWEET Hapa Chini)
👇
Mwanamke ni utukufu wa mwanaume kwa sababu ametoka kwenye ubavu wake. Mwanamke bora ni huyu hapa:
🧵🧵...
SIFA 10 ZA MWANAMKE WA KUOA..
RETWEET na wengine iwafikie...
Kujifunza Copywriting Pekee Haitoshi... Jifunze na OFFER Creation
.
Kutengeneza Irresistible Offers ni Ujuzi Unaojitegemea Haupo Ndani ya Copywriting skills kama Wengi wanavyodhani
….labda, utamu wa asali za mataifa ya mashariki ya kati ni ule usio kifani, kwahiyo USA hatoacha kuchovya kidole chake pale, hata ukamilifu wa DAHALI.
Good Morning ✅
Masomo 99 Kuhusu "SALES & MARKETING Niliyojifunza Ndani ya Miaka 5 na Kunigharimu Zaidi ya Tshs 7.9M....
...Na Ndani ya Sekunde 60 Zijazo Unaenda Kujifunza BURE
Rafiki Mpendwa...
Nimeandika Uzi Huu Kwasababu Nimeona Wajasiriamali Wengi wa Kitanzania 👇