Mungu ametupa @TunduALissu kama zawadi kwetu. Ndio maana hata wasiopenda kazi yake ya kuwakemea watawala wanaojigeuza miungu walijaribu kumuua lakini hawakufanikiwa. Tunahitaji kumchangia pesa kupitia namba zake anunue gari nyingine.
M.Pesa 0752316171
TigoPesa 0679222676
Samia,ni mzanzibari.Tangu aingie ikulu,amekuwa akipora na kuuza Mali ya watanganyika,ardhi,badari na kuua watanganyika.Kwa katiba mtanganyika hawezi miliki ardhi zanzibar, lakini wao wanaweza miliki ardhi tanganyika,lakini samia anapora ardhi na kuuzia UAE🇦🇪. Tuamke watanganyika
Ninge penda sana Kama hili bango lingeandikwa 👉 kiongozi ataee bainika amekula rushwa au kutumia HOVYO Kodi jasho la wananchi wanazo towa kwaajili ya maslahi mapana ya nchi yetu afikishwe maakamani nakupata hukumu ya kunyongwa hadharani ingelipendeza sana
@lifeofmshaba Huu MUUNGANO ni wa KIHUNI sana, n ma Ccm ndio yanafaidika nao kisiasa, ila yanauja kabsa n UTAPELI mtupu!n muda muafaka sasa movement hii ya katba na tanganyika iingize watu mtaani, otherwise mabadiliko tusahau!
CCM woote, Chawa woote, Nyuki wa Mama wote wamejitafuta na amekosekana mtu wa kumjibu Mhe; @TunduALissu kwa suala la Muungano.
Na sio Muungano tuu ukweli ni kwamba CCM nzima na marafiki zao hakuna mtu anaweza kujaribu kujibu hoja yeyote anayoibua Mhe Lissu kwa miaka na miaka.
"Ili ufanye kazi kwenye sekta hii ya elimu Zanzibari, lazima uwe mzanzibari ,
Ila kufanya kazi hiyo hiyo Tanganyika mZanzibari ruksa!
Yaani cha zanzibar ni cha mzanzibari ila
Cha Tanganyika ni Cha wote " ...
Muungano wa kibaguzi!!..
Good Morning WaTanganyika !!
Lissu : Kuna fursa na upendeleo kwa Mzanzibar, kule Zanzibar kuna wapiga kula 500,000 tu wana majimbo 50 yaani kila watu 10000 wana jimbo
Dar ina majimbo 7 lakini ina watu 5,000,000 kila watu laki 7 Wana jimbo moja hii maana yake nini kwenye Muungano? Fursa za Mzanzibar ni Vyeo
“Nchi yetu ina KATIBA 2 moja ya MUUNGANO na nyingine ya Zanziber na katiba ya MUUNGANO inamruhusu Mzanzber kumiliki Ardhi Tanganyika lakini Katiba ya Zanziber inamzuia MTanaganyika kumiliki ardhi Zanziber”:- Mhe LISSU