Mnyonge mnyongeni haki yake apewe huyu mama ana ubinadamu haswa,hata akitamka kitu unaona kabisa kaumizwa madam waziri @Dr_DGwajima Mungu akubariki wewe na uzao wako
Kwa kifupi, huyu mama, Dorothy Gwajima, alipwe baadhi ya mshahara wa Masauni kwa sababu anafanya baadhi ya MAJUKUMU ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi baada ya kuona Waziri husika AMESINZIA tu.
Imagine, Dorothy anamwandikia Masauni kumjulisha suala la Binti mwathirika! AIBU..
โผ๏ธโผ๏ธTUNAOMBA MAONI โผ๏ธโผ๏ธ
Yah: Uzalishaji Mpya wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Tunaomba maoni yenu wadau hii ni baada ya kuzalisha Rasimu ya Awali ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Sanamu hii itawekwa kwenye bustani ya Mashujaa wa Afrika Jijini Havana,nchini Cuba na itazinduliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Kwa maoni tunaomba yawekwe kwenye
๐ฌComments au katika ๐งbarua pepe ya Ubalozi wa Tanzania - Havana Cuba
[email protected]
Mungu Awabariki Sana
Humphrey Polepole
Balozi wa Tanzania -Cuba
Yaani think different @lifeofmshaba nilikuwa nahudhuria vipindi vyenu vya space kujifunza vitu kumbe kichwani wewe ni mweupe,hujui Chochote kuhusu JNHPP na kumbe mnadanganya wengi Sana!!
ISSUE YA BWAWA LA NYERERE NA MAFURIKO
-- Bwawa limelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje n maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa
-- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa
-- UNECO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa, Mwalimu Nyerere aliambia kuhusu hii hali, Mwalimu akaona hapana tuachane na ili bwawa
-- Ili Bwawa linachangamoto moja, linamwaga maji wakati maji yanaelekea kwenye maeneo yenye shughuli za utalii, makazi ya watu na maeneo ya kilimo
-- Changamoto hizo zilionekana mwaka 1970 wakati huo kulikuwa na population ndogo rufiji
-- Kwa sasa serikali ina changamoto ya kulinda usalama wa bwawa kutovunjwa na maji, lakini pia kuzuia maji na kuyaachia kwa kasi pia, kwenye hii operation kama bwawa litavunjika litasomba rufiji yote na chochote mbele yake, Njia salama ni kuachia haya maji kama wanavyofanya sasa, lakini shida ni kwamba hawataki kuwaambia wananchi ukweli, wanatakiwa kuhamisha wananchi na kuwalipa usumbufu, kwa maji yanayokwenda kuingia kwenye bwawa ili bila kuyaachia kwa kasi bwawa zitavunjia
-- Makadirio ya kuachia maji ili bwawa liwe salama ni 700,000 lita kila sekunde , kwa maana nyingine ni kuachia maji ya kujaza uwanja wa mpira wa mkapa ndani sekunde 2 au chini ya hapo
Haya maji yanakwenda kusomba watu, serikali iwe wazi, maana kuna tahadhari ya mvua kunyesha, Media fuatilieni ili janga kwa haraka, Bwawa la mkapa linakwenda kufa mauaji kama tutashindwa kuchukua hatau sahihi
TUELEWANE KITU KIMOJA
-- Haya maji yakiachiwa yataijaza wilaya ya rufiji kwa kimo cha 1.8 mita , wilaya yote ya rufiji
-- Mbili haya maji yaliyoachiwa na yanayoenda kuachiwa sio ya kuzalisha umeme, ni kwamba maji yameingia kwa wingi kwenye bwawa na bwawa alina uwezo wa kuimiri hivyo wanayafungulia ili kingo vya bwawa zisije vunjwa, na wanaelekea kuachia maji mengi zaidi ili kuokoa bwawa sio kuzalisha umeme hapana ni kuokoa bwawa maana waliaenda kujenga bwawa kwenye eneo lenye mto mzito bila kuzingatia athari za mazingira, kujenga bwawa kwenye mto kama rufiji iliitaji tekinologia kubwa sana na pia fedha nyingi sana zilitakiwa kutumika kutokana na hali ya kijiography ya mto, kwa maana nyingine huu mradi ulikuwa ni hatari , mvua zikipiga basi lazima maji yaachiwe vya kutosha. Bwawa wanalosema Bwawa sio bwawa ili ni ZIWA limetengenezwa na binadamu, ndio maana ilikuwa ni hatari kuingia kwenye hii project pia kuwa na mpunga wa kutosha,
Kwa sasa wamefungua milango 4 tu na bwawa lina milango 9 na katika hiyo 4 ambayo ni chini ya nusu tayari rufiji imezama, sasa sijui wakifungua full scale itakuwaje yaani 9 ili kuokoa bwawa, na swali kubwa ni je ili bwawa liko salama? tutadumu na ili bwawa kwa muda gani kama haya maji yakijaa yanakuwa mengi kiasi kikubwa hivi ?
CCM wanatakiwa kusikiliza umma na wataalamu kwenye hii miradi, suala ili la bwawa lilikuwa linaepukika
Mungu ilinde rufiji, Mungu walinde Watanzania
Mchana mwema #ChangeTanzania
Kwa mimi, natazama zaidi nia na juhudi inayofanywa na waamini na wafuasi wa siasa za Baba wa Taifa, muasisi wa siasa za ujamaa na kujitegemea, Mwl. Julius K. Nyerere, kumkumbuka na kufuata mafunzo na mwelekeo wa siasa zake. Kupata uhalisia wa sanamu nimekuja kugundua ni kazi kubwa na ngumu sana! Kama lile sanamu letu la BurigiChato, ukiwa kwa karibu ni yeye mtupu, lakini ukitazama picha, zote zinakataa kabisa! ๐ช๐๐พ
Me nadhani masuala ya ubunifu kwa nchi masikini wangejikita kutafuta solutions za matatizo yao na sio kujaribu walichowahi kukifanya wazungu tena kwa ubora wa hali ya juu..tukomae na mashine za kukamua mafuta,sijui kubangua mbegu,kusaga mahindi nk..
Me nadhani masuala ya ubunifu kwa nchi masikini wangejikita kutafuta solutions za matatizo yao na sio kujaribu walichowahi kukifanya wazungu tena kwa ubora wa hali ya juu..tukomae na mashine za kukamua mafuta,sijui kubangua mbegu,kusaga mahindi nk..
๐๐น๐ฟ
"SHE IS THE REAL DEAL"
In just 2 years, The pro-business stance of President @SuluhuSamia Hassan is credited with regaining the confidence of both domestic and foreign investors. Tanzania has grown the value of its investments to $8.6 billion.@GileadTeri
#๏ธโฃSamiaverifiedโ