@millardayo Kuwa na degree sio kitu maana ingekuwa degree ndio kujua kuongoza nazani Bara la Afrika lingekuwa na uwezo wa kujitegemea.
Afrika kwa sasa hatuitaji watu wenye vyeti bali tunaitaji wale wenye uwezo wa kuweza kujisimamia,kulinda rasilimali zetu na kuweza kututetea.

Hatuwezi kuwa na katiba nzuri endapo kama tutaendelea kuishi na Elimu hii ya kikoloni Yaani tuelewe ya kwamba kila tunachokifanya kipo kwa ajili ya kuwanufaisha Mabeberu .
@rose_mayemba Tukiamua tunaweza kweli, kwanini tuendelee kusumbukia vitu visivyokuwa vya msingi.
Nchi haitaji katika mpya bali inaitaji mabadiliko ya fikra maana sote ni wafungwa.