@Neypaul01 Im not here to preach or some but tithe ni nyumba ya bwana Halafu Mungu anaengalia moyo ila halipindishi neno lake ana hukumu according to neno lake na aliagiza hivyo fanya hvyo kuhusu pastor Ni yy mwenyewe atamuhukumu sio ww so do what is right na Mungu atafanya kwa upande wake
@Sativa255 Mpaka sasa yeye mwenyewe maisha yake yako hatarini yaani kuwa zoomed like that tayari lazima wao wenyewe wamsake wampunguze kuondoa ushahidi
@pastajoshuatz Bongo kama sio woga, ubinafsi au ujinga... Fanyeni Research Kwanza naona kila mtu anasema jamaa muongo mmefanya research?? Mkajua ?? Kama content Ni rahisi na nyie Si mfanye?? Acheni hizo