@CatherineRuge Kwahy uliwaambia wapiga kura wako wajitokeze kwenye huo mkutano?bac kucngekuwa na hyo nyomi mn umehama CDM ndio ungesema jimbo umelijenga ww ndio mn CDM wamekosa nyomi.msifanye raia km kuku wenu wa kufuga!
@SuluhuSamia Mama nilikw nakupend lkn kwa hili la jana upendo wng umekufa,hakuna mwanasiasa alie juu ya sheria including u mama, Mwananchi wa kawaida anapigw km mwizi kwa kosa lipi?kwend kuckiliza kesi ndio kosa?i as a citizen i would love to c accountability 4 wat has happened🙌
@IAMartin_ Hili lilipaswa kutokea ili ijulikane zipi chuya na upi ni mchele. Mgongano wa kimtazamo ni muhimu ili kuimarisha chama, kilichotokea ndan ya CDM ndio kitakifikisha chama na Nchi kwa ujumla kwenye asali na maziwa!resilience is truly needed ryt now ht kwetu wananchi.
@MwijakuBurton Hyu ni mtu mzima hovyo...badala ya kuwa mfano wa kuigwa kwa vijana unakuwa mtu mpumbav kwny jamii,pesa yko ickufanye udhalilishe watoto wa kike.!