Woe to those who manipulate religion and the very name of God for their own military, economic, and political gain, dragging that which is sacred into darkness and filth. #ApostolicJourney#Cameroon https://t.co/bKteFZ3iWE
@tazamaMbali Jirani anataka waanze kulipiza kisasi ili atume makombora kuichafua middle east yote na uwe msiba wa wote kwasbb hawaungi mkono baadhi ya sera zake
@Mrpengine47@ayubu_madenge Hayo si mavazi. Majudge wanamavazi yao, Wahandisi, madaktari nk au hiki kizazi ulichoita cha urahisi na unyenyekevu kinataka kila srhemu mtu avae T-shirt na jeans😂
In a telegram, Pope Leo XIV offers his condolences for the passing of Cardinal Polycarp Pengo, Archbishop Emeritus of Dar es Salaam, Tanzania.
https://t.co/MQAVvk1xvg
@NNgabu_ Nani amekwambia aliwai kuongoza TEC?😄 Usikurupike vitu kwa ufinyo wa mawazo yako. TEC hairubuniki kisiasa, kwenye maswala ya imani na maadili maaskofu wetu hawawezi kukurupuka kutoa msimamo wao na kwasisi wakatoliki tunaheshimu kila wanachotwambia Maaskofu kuliko unavofikiri.
Papa Leo XIV hatashiriki kwenye Bodi ya Amani iliyoanzishwa na inayoongozwa na Rais Trump licha ya kupewa mwaliko. Bodi hiyo ilianzishwa ili kuijenga upya Gaza lakini sasa hivi malengo yake yamekuwa mapana zaidi. Vatican imesema jambo hilo linapaswa kufanywa na Umoja wa Mataifa.
@EduTalkTz Nadhani hapo umechanganya kwasababu huo pia ni mradi wa kimaendeleo. Zaidi ungelinganisha kati ya gharama ya jengo na efficiency ya mahakama.
Picha hii ilipigwa January 23 mwaka 2009 ndani ya Ikulu ya Whitehouse. Hapa Obama alikuwa anafanya kikao na washauri wake wa uchumi. Picha inaonesha Obama akiwa amesimama kwa kutulia akisikiliza kwa makini mtaalam akieleza jambo. Kiongozi mzuri inapaswa uwe msikilizaji mzuri.
I was deeply saddened to learn of the kidnapping of priests, faithful, and students in Nigeria and Cameroon. I feel great pain, above all for the many young men and women who have been abducted and for their distressed families. I make a heartfelt appeal for the immediate release of the hostages and urge the competent authorities to take appropriate and timely decisions to ensure their release. Let us #PrayTogether for these brothers and sisters of ours, and that churches and schools may always and everywhere remain places of safety and hope.
HOTUBA YA RAIS SAMIA BUNGENI. Kutekeleza agizo lake la uchunguzi wa machafuko ya UCHAGUZI. Nashauri iundwe JUDICIAL ENQUIRY au TUME YA KIJAJI na tofauti na zilizopita mchakato wa MARIDHIANO usubiri mapendekezo ya tume hiyo ambayo sharti kuwekwa wazi UWAJIBIKAJI UWE KIPA UMBELE.