@Sisimizi3 Wanaenda kuabuse watoto wa watu, mentally, some of them sexually kwa kigezo cha kuwafundisha ukakamavu. Hii taasisi hasa huko kwenye vikosi vya mafunzo ina watu waovu wengi. Kulimisha watu na shughuli zingine za kiuchumi hela wanakopeleka hakujulikani. Ni kama magereza tu.
@juliejuleth Waone waliokuletea dini walivyo, na walipo kuja ndio waliwaleta kwetu pia na wakafanya biashara au kuwala wao wenyewe. Wao ndio wanajua hasa chanzo cha biblia ni wapi na wanajua inasema nini the same to Quran but look at them๐.
@bungomaduke Mpeleke kwa mtu anayefuga dume akae hapo for sometime maybe 2 months alafu mrudishe kwako. Dume litamkague lenyewe na kupanda when the time is right kuliko kutegemea wewe kucheki for signs of heat alafu ndio mumchgulie dume wa kumpeleka au kumletea
@Aruatani Huyu alitaka kwenda kuwashushia watu wanabomu kutokea angani misituni walipojificha kwenye hifadhi za wanyama. Ilibidi tasisi za kushughulikia mazingira ziingulie kati kuomba wakuu kuzuia hilo. Alitaka kuua kila kitu humo
@TichaMandevu Kwa mazingira yoyote yale kama miinuko nk sio salama kumtumia mnyama kuvuta mizigo mizito pasi kuwepo namna ya chombo wanatumia kuvuta hiyo mizigo kuwa na magurudumu. Sehemu kama nundu nk hawakupewa kama sehemu ya kutumia kuvuta vitu au kufanya kazi za namna hiyo.
@Advocate_Jebra Kikwete huwa anaigiza hadi moves za mikono za mzee Nyerere and people hawajawahi mnotice. Ukimchunguza how Nyerere anafanya vitu wakati anaongea na watu ndio hivyo hivyo utamuona kikwete anafanya hata Stephen Mengele ( Tivu ake).
@zoetjesheeftX Watu wanatakiwa kupambana bila kuleta drama kwa jinsia nyingine. Ukiona wanaume hawafai au wanawake hawana issue komaa it's your life and choice.
@HopeQuotes__ Mnawajua vzr hao watu na roho zao? Fungwa wiki 2 hivi ujionee walivyo, hao ndani humo ni miungu watu na ni wakatili ajabu. Kukuvunja ugoko kwa marungu ni swala la kugusa tu kwao na hawajali, wapambane na hali kama wanaipenda kazi yao, serikali sikuvu ipo.
@EduTalkTz Huyu Nyerere mimi huwa simtaki kabisa kumsikia. Chanzo cha haya yote ni yeye na sera zake za kukumbatia madaraka na akawaachia watu wapuuzi nguvu hizo. Wajinga woooote humo ndani wanakua covered na akili zake na mawazo yake yalioweka kwa maandishi.
@TichaMandevu Huyu ni Jamii ya cobra na kwa haraka haraka anaweza kuwa Forest cobra au aina nyingine ya cobra ila sio Black mamba, hawa hufuata viumbe kama chura around settlements za watu.