@SuphianJuma Yaan Kwa Bibi angu Ukitaka Wajomba Zangu Wakuue Kapomoe Ujenge Kisasa Yaan Hakunaga Mtu anaishi ila 12 dec wakija kijijini wanainjoy sana an Walilaum sana Kuvuta umeme Wanatamani wakija na watoto wao wakute makoroboi mameee
@_zack255 Aya Twende Kwenye Hukumu ya Uchochezi Lisu nkosa lake la Ngap na Kama Nilakwanza kwann priority isiwe fain kwann waende Option ya Pili Ya kufunga Wakati Option ya kwanza ni faini kwa Mtu alie tenda Kosa kwa mara ya Kwanza
@EsirEid Nko mkoa wa mbali sana kufika Dar Ila siku Mambo yakiwa Shwari Kina @mangekimambi wakawasili Tz Wallah Ntasafiri kuwapokea Airport kazi Kubwa Wanafanya.
@Dingiiiiiii Dini ni Ukuum... tu man Kwamba Viongozi Hawaoni Namna haki ya Kweli Inapindishwa Hao Wanaosimamia Sio Waumini wao je wanawafundisha Nini Au Nawao wanaufyataaa Wakumbusheni meshach.Shedrack na mwenzio walgoma Kuabudu Sanamu Wakasimama na Kwel ya Mungu Wakakubal ata kufa hawa sasa
@LudovicMle66858@Roma_Mkatoliki Yaaan Sheria Inamtaka Apigwe Faini ya 3M kwa Kosa La Kwanza La Kimtandao Sasa Wao Waizidishe Mara 33.3 ili iwe adhabu kali kama asemavyo katuga then waone kama itafika saa 12 haijapatikana na Watoe account ya serikali Ili wajihesabie yaan waaachwa watu wamepiga 120B daah mamaee