๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ผ๐ฟ๐๐ฟ๐ ๐๐ผ๐๐๐๐ผ๐๐๐๐๐ผ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ผ ๐๐๐๐ผ๐พ๐๐๐๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐ผ.@hamdu_shaka
Katibu Wa Nec Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM.
#KaziIendelee#InukaTanzania
๐ป๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.๐ป๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ฒ๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐๐ ๐ต๐ ๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐.@DrHmwinyi
Kwenye sekta ya ELIMU Tumetimiza Yote Tuliyoahidi Kwenye Ilani Ndani ya Miaka Miwili.
#UchumiwaBlue#Kaziiendelee
๐ด๐๐๐๐ ๐ด๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ซ๐๐,๐ด๐พ๐ฐ๐ต๐๐ฐ
๐ด๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ด๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฒ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐ผ๐๐๐๐๐ ๐พ๐ ๐๐๐๐๐๐๐r, @DrHmwinyi
Ni Ile inayohusisha Ujenzi Wa Bandari Ya Mangapwani, Ujenzi Wa wa Barabara za Tunguu-Makunduchi Fumba-Kisauni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia
Akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Keqiang ,
Mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing chini China tarehe 03 Novemba, 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. @DrHmwinyi apokea ripoti ya Mapendekezo ya Kamati maalum iliyojadili Masuala mahsusi ya Zanzibar, tarehe 02 Novemba, 2022. Ikulu, Zanzibar.
Waziri Mhe. Mchengerwa na Balozi wa Tunisia nchini Salim Afsa leo Novemba 2, 2022 wamekutana na kujadiliana masuala mbalimbali ya sekta ya Michezo.
Wamewaongoza watanzania kutazama mechi ya Kombe Shirikisho la Afrika baina ya Timu ya Yanga na Club Africain ya Tunisia
Mhe. Rais @SuluhuSamia awasili katika uwanja wa ndege wa Peking, Beijing nchini China ambako anafanya ziara ya Kiserikali kwa mwaliko wa Rais wa China Mhe. Xi Jinping.