Kijana aliyefahamika kwa jina la Majaliwa (mvuvi) amepewa sh milioni 1 na Waziri Mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ kwa jitihada zake za kuvunja mlango na kuwezesha watu 26 kuokolewa
Miili ya Marehemu Ikiingizwa Uwanjani Kaitaba kwa ajili ya heshima za mwisho, Pamoja na Hali ya Mvua Wananchi wamejitokeza Kwa wingi Kutoa Heshima Zao za Mwisho
𝙃𝘼𝙏𝘼𝙆𝘼𝙈𝘼 𝙈𝘼𝘿𝙐𝘿𝙐 𝙔𝘼𝙇𝙄𝙁𝘼𝙉𝙔𝙄𝙆𝘼 𝙃𝙐𝙆𝙊 𝙉𝙔𝙐𝙈𝘼 𝙏𝙐𝙏𝘼𝘾𝙃𝙐𝙆𝙐𝘼 𝙃𝘼𝙏𝙐𝘼.@hamdu_shaka
Katibu Wa Nec Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM.
#KaziIendelee#InukaTanzania
SALAMU ZA POLE
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria, mkoani Kagera Natuma salamu za pole kwa walioathirika na ajali hii. Tuendelee kuwa watulivu wakati zoezi la uokoaji likiendelea." - Rais @SuluhuSamia
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Natuma salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali hii. Tuendelee kuwa watulivu wakati huu zoezi la uokoaji likiendelea huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusaidie.