SINA UHAKIKA KAMA CHACHA SIYO MGONJWA WA AKILI..
NIMESIKIA kauli ya Chacha nimelazimika kujiaminisha mambo mengi sana ikiwemo kutoandoa uwezekano wa kuwa anaumwa akili huyu mtu. Na kama siyo mgonjwa wa akili basi ni mtu mwenye kiwango cha juu sana cha ujinga na kutoelewa tofauti ya serikali , CCM na vyombo vya dola.
CHACHA anatakiwa aambiwe na afunzwe kuwa vyombo vya dola siyo mali ya CCM. Na kama ana mawazo hayo basi AKOME kuwaza mambo ya kijinga kwa kuwa yana hatari sana kwa usalama wa hii nchi na utengamano wa jamii ya watanzania ambayo siyo kila mtu ni CCM. Yaani Chacha AKOME halafu AKOME tena..!
SINA uhakika kama anajua hatari ya maneno yake aliyoyatoa kuwa CCM ndiyo inamiliki vyombo vya dola na ni mali yake. Sijajua alikuwa anataka kuongelea nini lakini hatari ya maneno yake ni kubwa sana kwa CCM na serikali.
CCM au chama chochote cha kisiasa hakiwezi na hakina uwezo wa kumiliki vyombo vya dola na vyombo vya dola siyo sehemu ya vyama vya siasa na havifungani na chama cha siasa.
VYOMBO vya dola ni taasisi za umma na kazi yake ni kufanya kazi na kulinda nchi na chama chochote kitakachounda serikali kwa kushinda uchaguzi ndiyo kitafanya kazi nayo. Mawazo ya kuwa vyombo vya dola ni vya CCM ni ya kishenzi sana na hatari sana..
KAULI ya kuwa vyombo vya dola ni mali ya CCM ni kauli ya hovyo sana ba ya kijinga sana kutolewa na mtu ambaye anakaa kwenye sekretarieti ya CCM.
CHACHA ni mtu hatari sana kukaribia madaraka na kila anaposogelea madaraka anakuwa mjinga na hatari zaidi. Huyu alishawahi kuweka mtu ndani kisa kamtongoza huko Tabora. Tunapokuwa na viongozi wa aina hii ni hasara sana kwa taifa kwa sababu wanaonekana wanapopewa vyeo kwa sababu ya ujinga wao.
YAANI kiongozi anapofanya ujinga na akaendelea kuwa kwenye nafasi yake maana yake ujinga wake ndiyo kigezo cha yeye kuwa kwenye nafasi hiyo na ndiyo maana anandelelea kufanya ujinga.
UNAWEZAJE kutoa kauli ya hivi? Yaani ni kwamba hujui mifumo ya serikali inavyofanya kazi? Au umeamua tu kuwa mjinga kwa sababu ni hulka yako?
KAULI ya Chacha kwenye mazingira ya kawaida ilitosha kumuondoa kwenyw hii nafasi akatafutiwe kazi nyingine kwa sababu huku ataendelea kufanya haya madudu na ata damage sana taswira ya CCM na serikali huko mbeleni.
KUNA mtu alishawahi kusema "CCM itashinda hata kwa goli la mkono" na kauli ile imemuandama maisha yake yote mpaka leo na haijawahi kufutika na kwa kuwa ni hulka yake akaja kurudia kauli ya hivyo huko Bukoba kuwa "unaweza ushinde usitangazwe na wakamuomba msamaha Mungu" na ikapelekea kutupwa nje ya baraza..
SASA Chacha ndiyo kaanza na ataendelea kutoa kauli za hivi mara kwa mara na wakubwa zake tegemeeni mengi kutoka kwake ya aina hii lakini kaeni mkijua anachafua chama chenu na anatia doa kubwa sana kwenye mahusiani yenu na wananchi.
#KigogoMediaUpdates
Naomba kesho ile anaanza Hotuba aseme tuwakumbuke waliopoteza maisha kwenye zinazoitwa "Fujo" hata Bunge lisimame kwa dakika moja kuwaombea pamoja na majeruhi wapate kupona alafu aendelee inaweza kuwa mwanzo mzuri wa kuliponya Taifa.
Kama umepaki haya magari nyumbani kwako
Nenda kapige kura ikifia October 29
Tofauti na hapo hiyo ni siku ya kukomboa nchi
Mtu amepako zaidi ya bilioni 5 hapo nyumbani kwake wewe ukaungane naye
Wilaya nzima vijana wanaletewa zile fedha za mikopo million 500 yaani pungufu mara 10 ya thamani ya hayo magari
๐ฅ Kibu Denis on fire! ๐ฅ
The Tanzanian forward Kibu Denis shined brightly today, scoring twice to inspire Simba SC to victory in Eswatini! ๐น๐ฟโฝ๏ธโฝ๏ธ
A complete performance from one of East Africaโs finest attackers.
When Kibu shines, Simba roars! ๐ฆโค๏ธ
#CAFCLwithMicky โข #AfricanFootball โข #SimbaSC โข #KibuDenis โข #Tanzania
Martin Masese alikuwa akimnadi Mbowe wakati wa uchaguzi wa chama Wala hakujificha,Baada ya uchaguzi kumalizika aliendelea na kazi ya kupambana na CCM bila kuweka kinyongo,Leo hii wamehama waliokuwa na mapenzi na mbowe yeye amebaki Amechagua uhai wa chama
tumpe retweet 1000
Alikuta timu haina muunganiko mzuri, akakuta wachezaji wengi ni wapya lakini bado ametufikisha Fainali ya CAF. Respect sana kwa fundi wa Soka, Maestro Don Fadlu Davids. Retweet mpaka imfikie huko alipo Durban Afrika kusini.
@Deodravis@shaffihdauda1 Kaka mbona wewe ni mtu smart sana, mpira usikufanye uwe mjinga mjinga namna hii. Nilishasema kwenye mpira wa Tanzania kuna wajinga wajinga wengi sana.
Hatuwezi kurejesha maji yaliyo mwagika lakini tunaweza kukinga mengine. Muhimu ni kuandaa chombo chetu kisivuje tena. Hatuwezi kubadilisha kilichofanyika tayari bali tunaweza kurejesha kilichopotea kwa namna nyingine. Nguvu na matumaini tunapaswa kuhamishia Lubumbashi ๐๐พ. @CRDBBankPlc