@millardayo Mungu pitisha hiyo Sheria kwa mataifa yote haya maccemu magaidi yanayolinda maslainyao nakuona nchi ni yao peke Yao wasiwe na ruhusa ya kwenda hata ikiwezekana ndugu zao waliopo marekani au mataifa mengine wafukuzwee, Tanzania huru yenye katiba mpya na bila maccemu inawezeka
@SuluhuSamia Na wale waliouliwa October 29 kwasababu ya uchu wa madaraka tuwakumbuke na kuwaombea yatima, wajane na wote waliopoteza wapendwa wao tuwaoombe pia, Ole wake amwagae damu isiyo na hatia asema BWANA wa majeshi