@earadiofm@exaudwamtei Changamoto ni nyingi,na sio kila changamoto zinafanana. Hio mahali na kutokueleweka kwa vijana pia ni moja wapo ya hizo changamoto
@SuphianJuma@TunduALissu Mtu kama wewe haupaswi umalize bando lako kwa kuandika huu uchafu. Chunguza profile yako vizur. Wewe ni tofauti mimi. Au ndio bando lako haupangiwi?