@SuphianJuma@SuluhuSamia Unavosema kajenga madarasa msomera kwani wamasai wanaoandamana ni wa msomera au ni wa ngorongoro em nenda ukatubu cz unaleta uchawa wakat wenzio wanaumia afu so kila kitu upinzani haki haichagui chama hata wana ccm wenye akili hawafurahii kinachoendelea ngorongoro