2024 Top 32 Popular SERIES released this YEAR that you must watch
Thread.....Retweet share to friends & family for the best entertainment
1. Lioness Season 2 .....The Day Of The Jackal
WEKA TABLE OF CONTENTS AUTOMATIC .
Juzi nilishuhudia dogo mmoja chuoni akilalamika kua kaishamaliza kuandika kazi yote ila anawaza kuanza kuandaa Table of contents.
Ni simple sana kuandaa table of contents kwenye Ms Word.
UZI 🧵
Kuna watu ambao wanarun Companies tena wengine wako kwenye vitengo vizuri lakini hawajui EMAIL COMMUNICATION!
Wakuu, email Ina namna zake za kimawasiliano. Official email haindikwi kama barua wakuu. Zina lugha zake na namna zake!
Anyway wacha niwasaidie kuondoa hizo aibu ndogo ndogo kwa wale wanaotaka kujifunza, nendeni YouTube kisha mtafute huyu jamaa, ENGLISH WITH ALEX. Utajifunza mambo mengi mazuri!
Levavi Oculus 💪🏾
Furniture safi 🇹🇿
📲0786437672 Whatsapp
Hii Wadrobe ni Smart sana from the design to materials
Bei ya hii Kabati ni Tsh 480k tu
Tunapatikana Keko Bora
WORK SHOP. SHOW ROOM 💯
UWEKEZAJI
Katika uwekezaji wako iwe taasisi, kiwanda au kampuni.
Wakati unapima performance ya uwekezaji wako hakikisha unazingatia
1. Muda
2. Uwanda
3. Gharama
Haya mambo yote yanategemeana usivuruge huu utatu 🧵
Malengo makubwa yanahitaji muda mrefu na fedha nyingi 😑
NAMNA YA KUANDIKA EMAIL YA MAOMBI YA KAZI/JOB APPLICATION EMAIL
Soma hapa na mifano👇
Anza na To : weka email ya unapotuma maombi.
Sehemu ya Subject / kichwa.
English:
Subject: Job Application for [Position Title] - [Your Name]
Kiswahili:
Maombi ya Kazi kwa Nafasi ya [Jina la Nafasi] - [Jina Lako]