@privaldinho Albino ni watu kama watu wengine, wanapewa madil kama hayo ya kuigiza na kufurahisha watanzania wengineNyie mnaochukulia hii inshu serious ndo wabaguzi,
@_bongolese@PKishamba Unadhani kuchakarika ni virahisi kama kuandika hapa?!hujui kuna watu wanadegree wanahitaji kupata tu ata kazi ya 150k.....nyie watu eshimuni kidogo cha mtu