https://t.co/EVnVNU4ZvN
👆👆👆👆👆👆
Simulizi ya Maajabu ya EDWARD MORDAKE, binaadamu mwenye nyuso mbili! sasa ipo SwahiliBuzz! Go watch it, usisahau kusubscribe, kulike na kushare!
Edward Modrake, binaadamu mwenye nyuso mbili, alijiua akiwa na umri wa miaka 23 baada ya madaktari kushindwa kuuondosha uso wa nyuma.
#OneMinuteOfTruth
Full story ipo kwenye Channel yetu...bonyeza link kwenye bio kuitazama yote then hit subscribe button ili uwe wa kwanza kupata habari zote za kiburudani kupitia SwahiliBuzz!
#WeGotYouCovered#OneMinuteOfTruth#SwahiliBuzz
.
Cc @rockaboy_tz @prettycure_tz
https://t.co/yjRmf78JhQ
Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na @AikaTz na @Nahreel limetangaza ujio wa Album yao mpya inayokwenda kwa jina la 'Story of The African Mob' ambayo imeachiwa rasmi tarehe 24 Julai 2020 kupitia social platforms… https://t.co/tDwsH0qDQO
Leo tulipiga stori na aliyekuwa Producer wa Harmonize Bonga na kutusanua mambo meeengi ambayo hitakiwi kuyakosa..Bonyeza hii link kuangalia then subscribe👇
https://t.co/QSZUnqYfa6
.
#BuzzFresh#OneMinuteOfTruth… https://t.co/mriK79RoMx
Uchambuzi wa goma jipya la King Kiba 'So Hot' sasa upo live lwenye Channel yetu, nenda kasubscribe kisha jionee mwenyewe👇
https://t.co/L9ip1ekuDd
.
#BuzzFresh#SwahiliBuzz#OneMinuteOfTruth#WeGotYouCovered… https://t.co/9LgfF8jSea
B-Dozen ahama rasmi CLOUDS FM! Unataka kujua sababu na chanzo cha hayo yote? Bonyeza hii link, kisha usisahau kusubscribe, kulike na kucomment!👇👇👇
https://t.co/RIM9if0vxE @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/rin9vYv3X0
Ujio wa ngoma mpya ya Alikiba wawapagawisha mashabiki wake! Ni hatari tupu...bonyeza hii link kucheki full video, kisha subscribe, like, comment then share na wana 👇👇
https://t.co/TcmPn18O0F
.
Cc… https://t.co/pnVJVYkkDL
Historia ya PABLO ESCOBAR! Je unajua kwanini aliamua kujiingiza kwenye biashara haramu ya Cocaine?! Unajua kuwa aliwahi kuwa na nguvu kuizidi serikali ya Colombia?!
.
Full story link bonyeza kwa link yetu na… https://t.co/nmB3ulchpI
Simulizi ya "ALIEN" kutoka sayari ya Mars anayeishi duniani kama binadamu wa kawaida is now on SwahiliBuzz Youtube Channel. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza link kwa bio kisha enjoy ulimwengu wa simulizi!… https://t.co/ZLwBX58E9s
#USICHOKIJUA | Kundi la muziki la @SautiSol kutoka nchini Kenya wametangaza rasmi kuachia Studio Album yao ya 5 waliyoipa jina la Midnight Train.
.
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Sauti Sol wametusanua kua Album… https://t.co/JFJFtAcvJt
ALIKIBA AMEWEKA WAZI KWANINI HANA TATTOO KWENYE MWILI WAKE
.
Alikiba amenukuliwa akisema "Sina sababu mimi ndio meneja wa mwili wangu ..” akijibu swali la sseboefm kwenye kipindi cha HOMA TV E jana.
.
Miaka 17 kwenye… https://t.co/hdyqE96qdF
TOMMY FLAVOUR, SILAHA MPYA KINGS MUSIC!
Label ya kingsmusicrecords imemtambulisha rasmi msanii tommyflavour kama msanii wa label hiyo ambayo iko chini ya Tanzania's finest @officialalikiba
.
Ni wazi kuwa msanii huyo… https://t.co/42T2b6BjER