Nikajua Mnavyo Kenua kwenye Mikutano ya CDM Basi nyie Mtakua ni Balaa.. ๐๐
Hapa naona Ma-Kids ndio wapo wengi, narudia Tena Acheni Battle na Chama Kilicho Wazidi Kila Angle..
Endeleeni Kudili na MaCCM japo na Nyie ni Friend's of CCM...
Yan hata Hashim Rungwe Bado hamjamfikia
Nalaani mauaji ya kikatili ya Dr.Isack Sima aliyekatwa mapanga huko Nyamongo, Tarime. Tunataka @tanpol ichukue hatua na kuwakamata wote waliohusika. Haiwezekani siku 3 baada ya mauaji hakuna mtuhumiwa aliyekamatwa. Angekua mtoto wa Waziri mngekaa kimya siku 3? #Juatice4DrIsack
๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
Lijendi muziki nchini Tanzania, Professor Jay amemshukuru Mheshimiwa Rais kuwa kugharamia matibabu yake ndani na nje ya nchi.
Amesema sasa yupo imara na anaendelea vizuri sana.
#MamaYukoKazini