Kimsingi Yeye Ni mdau WA muziki, Alikua kwnye Field Yake kabisa na Ana hoja Ila Kuna baadhi ya maneno katumia hayakua Rafik kwenye Kile Alichikua anakielezea!
King Kiba vs. Master J β The Heated Exchange
King Kiba ameamua kumtolea uvivu legend producer Master J baada ya kuwa too vocal kwenye kukosoa wasanii wa Bongo Fleva.
Thread:‡οΈ