@RealHauleGluck Mnaanzia wapi mine kufanya biashara ya mahidi ya kuchekesha na ya kuchoma,maji,juice baraf,vitumbua na maandazi maana njaa haichezi mbali
@mrBenPeter Iv kuwa kiongozi ni raha ee,au huko ikuru kubadili sana we,maana wanajaribu kila binu ili waandamanishe watu ili waende ikuru ,kwani Kama mwataka Mali so mtalipata shambani ,asa nn shida ,au mashamba hamna,si hata kuchoma mahidi poa tu au mnaonaje.tulien bwana 2025 ntajaribu tena
@godbless_lema Asda kwel mwananchi unampa sera kuwa unapinga ujenzi wa uwanja wa ndege chato,ujenzi wa rel,ununuzi wa ndege,kujenga hospital, unategemea nn,Bora kujenga sera Kama jpm aliyokuwa akifanya ili kuweka Iman kwa wananchi .achen siasa za ugonvi
@godbless_lema Kaeni nyumbani muwaache wananchi na maamuzi yao tu kipindi hiki kubalin kushindwa maana mlikuwa mnashindana.
Jipangen tena baada ya mi5 ijayo muwape wananchi sera nzuri na siyo kutegemea sera za kuleta ugonvi,njoon na hoja madhubut wananchi waelewa hawa ,watawapa zao kura
@kigogo2014@tanpol Nitakuwa nauza maji,juice,vitumbua,vitumbua,maandaz pamoja na karanga mkilianzisha najua njaa itawakuna tu ,hapo biashara itakuwa nzur ko mfanye kwel
@ccm_tanzania Kama walioandikishwa 29M na waliopiga ni 15M,je hawa 14M ndio walifanya majukwaa ya wapinzan kujaa halaf wanaishia nyumban tu
Hongera kwako jpm mi5 tena