Nchi kama Malawi Ina taasisi imara za Demokrasia sisi tunabishania makada wa CCM kuwa wasimamizi wa Uchaguzi. Jaji wa Mahakama Malawi ameamuru matokeo ya uchaguzi yasiendelee kutangazwa mpaka matokeo ya wilaya kadhaa yaliyochakachuliwa na Chama tawala yahesabiwe upya kwa uwazi
Mke wangu alikuja kunipa support wiki yote hii nikijiandaa kuwasilisha na kutetea bajeti ya Wizara yetu. Miaka yote amekuwa akifanya hivyo. Ahsante sana mke wangu. Nakupenda. #Family#Kigwangallas#HK
TANZIA!
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Bw. Reginald Mengi amefariki Dunia akiwa huko ughaibuni!
MTANDAO WA INJILI @Tagoane inaungana na Watanzania wote katika kuomboleza msiba huu mzito.
APUMZIKE KWA AMANI ...
TANZIA!
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Bw. Reginald Mengi amefariki Dunia akiwa huko ughaibuni!
MTANDAO WA INJILI @Tagoane inaungana na Watanzania wote katika kuomboleza msiba huu mzito.
APUMZIKE KWA AMANI ...
"Nimesikia Matusi dhidi yangu, mimi ni muumini wa dini ya M/Mungu nawashukuru sana, jambo kubwa ambalo Mwenyezi Mungu amenitukunu ni kunipa hekima lakini pia amenipa akili, hivyo siwezi kujibizana na mtu yeyote mwenye akili ndogo na asiye na hekima" ~Prof Assad
#ChangeTanzania
Leo nimerudi TZ baada ya kuwa nje kwa wiki 2. Ndege ilivyokuwa inatuwa moyo wangu umepata furaha kurudi kwetu. Hakuna mtu yeyote atayeifanya TZ chungu. Ni KWETU!!!
Huyu jamaa since 2008 hajashinda major trophy, wengi walihisi mwisho wake umefika na hatarudi tena kwenye ubora, leo kabeba tena. No matter what mistake you did or what life throws at you, never lose the trust on your abilties, believe in a comeback