@shijam282_shija@Legend_Mtikila Anachagua mambo mepesi ambayo hayawezi kutusaidia katika kujenga taifa la HAKI.Kumshambulia Mbowe ni vita vyepesi mno kwasababu hata ukimshinda itabadilisha nini kwenye utawala huu?
@MsigwaPeter Sentensi 2 tu za LEMA wewe umetoa riwaya,🤣🤣.longolongo tupu.
Kazi za mtu humtambulisha.Mti hujulikana kwa matunda yake.Imani pasipo matendo imekufa.
🔥Love is invisible but the visible of Love is to give.
🔥Acha porojo,simama na haki,acha unafki.
@MK47TA@Baradhuli2@420Cousin@NellyNyamandege chadema imekufa. sasa wew mzima unapambana na marehemu kwa nguvu hivi ni kuonyesha marehemu ans nguvu sana licha ya yeye kulala mauti bado maiti yake inapambana na walio hai na inawatoa jasho. anyway RIP chadema, wasi wasi wangu ni wazima watoa harufu mbaya kuliko maiti yetu.
@MwijakuBurton Hatutamuhukumu msanii kwa itikadi au dini au kabila ila msanii ambaye hawezi kusimama na wananchi katika mambo ya kitaifa hatufai.Kulikuwa na kampeni ya vitabu kwa wanafunzi hatukuona wasani wakiposti nadhani ni wewe peke yako ulitangaza ila wengine ziiii
@ezekiel_kamwaga Ndugu yangu Kamwaga mimi nilidhani utapiga kelele kuwa Tanzania tujisimamie wenyewe kumbe unataka tuegemee kwa mabeberu hao hao ambao tofauti yao ni moja tu.China au Russia hata taifa likiwa na watawala katili na dhulmati hawaingilii wanachojali ni maslahi yao tu
@RashdaZunde@MichaRama Hivi mnawachuliaje watanganyika?Ya kwamba ni mazuzu,hayajitambui?ni kondoo wakupelekwa kule na huku?Mnawadharau sana watanganyika?nawaona kama vile ni mawe,yakwamba hawajui HAKI ni nini na DHULMA ni nini.
Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwakujidanganya kwamba hayapo
@DrPiusMiguri@hancymachemba Lugha ya rais ametoa,serikali ya rais fulani,imeanza kushamiri kipindi cha hayati JPM na mpaka sasa.Huko kabla tulisikia “serikali imetoa au serikali ya ccm”
@kwamekivaisi@mhdhamad@SuluhuSamia Mungu hadhihakiwi,hii sumu ya udini unayoipanda na hatari mno mno,unataka kulipeleka taifa letu kuzimu wewe tena unamtagi na mkuu wa nchi kwenye uzushi wako huu??
Mungu atusaidie
@Sisimizi3@ISemwali Nasoma maandiko yenu lkn hamjui kuwa mnazidi kuharibu.Badala ya maandishi yenu yasaidie nchi,pawe na utengemano lakini ndiyo kwanza yenyewe yamejaa chuki mno.Kwa maandishi yenu humuisadii serikali bali mnaiharibia,chuki,uchochezi,fitina dhidi ya wengine.
Watanzania siyo wajinga
@Ntobi_@godbless_lema@Ndolezi_Petro Hivi hujui kuwa kinachodaiwa ni HAKI na utawala wa sheria?Hata hao wanaoteka baada yakukosolewa walipaswa kufuata sheria ikiwa wanaona wamedhalilishwa na siyo kuteka na kuua.
@Tanganyikan@Ntobi_@godbless_lema Sasa unashtuka nini wakati Wanalaani kuwa uchaguzi ulikuwa wa hovyo na hapohapo wanatoa tamko lakudai nafasi za viti maalumu na kama haitoshi wanampongeza Ado Shaibu kwakuwa Mbunge kwenye uchaguzi ambao haukuwa wa haki🤣🤣🤣