Kama Kwenu Mna Kaka Ameoa na Bado anaendelea Kuwasaidia Ndugu zake na Wazazi Wanapata Huduma zote toka kwake ,Basi Mnapaswa Kumuheshimu sana Mke wa Kaka Enu ,na Msiache Kumuombea Baraka....🤝
Husband materials ndio tunatoka kanisani kwenye ibada ya misa takatifu sasa hivi na tunapitia buchani kununua nyama tukajipikie pilau wenyewe maana wanawake wanatukataa kwasababu eti hatuendi Clubs na hatunywi pombe. 😭😭
Hatari ya Kuoa single mother ni kwamba baada ya Miaka mitano , Baba wa mtoto atakuja kuomba radhi na watarudiana . Hatojali ulichomfanyia wala ulipomtoa . Single mother anapaswa kuwa katika nafasi ya mchepuko tu
#TajiriLaKihaya
Twende mbele turudi nyuma…
Kama Mwanaume ukitulia ukatafakuri…
Utagundua kwamba hakuna Faida yoyote ya Kufanya mapenzi Nje ya Ndoa yako!
Ni akili tu Yakijinga…
UCHI HAUSHIBI…. hata ukipewa Mabinti wote duniani…. Bado utataka wa Mars … tena utataka hadi Aliens!
Kikubwa nkumuomba Mungu akupe Roho na moyo wa kuushinda Tamaa!
Alhamdulillah… mm usiku huu moyo huo na Roho hio NMEIPATA🙏🏽
Sasa hapa nijiandae tu Kuhiji Makkah Mwakani,In asha Allah!
Dhambi ya Uzinifu haitawahi nipata tena…
Am Born again!