Wajasiriamali wamekaa kimakundi wakijadili juu ya namna ya kuboresha biashara zao mtandaoni wakigusia upande wa Walengwa wa biashara na Mitandao husika katika kukuza biashara hizo, #TOTAcademy#TOTBonanza
" Ni vizuri ukatenga muda wako na kuzungumza na wateja wako, hii itakusaidia zaidi kutambua mahitaji yao, maboresho, katika kukuza biashara yako" - Mr Owino #TOTAcademy#TOTBonanza
"Ni muhimu kutambua lengo la biashara yako, kwani maamuzi yote utakayo fanya juu ya Biashara yako yatategemea zaidi lengo hilo, - @kaimollel#TOTAcademy#TOTBonanza
" Ni muhimu sana kufahamu tabia ya mteja wako ili uweze kumuhudumia mteja wako vizuri, Kujenga uaminifu kwa mteja kunazingatia zaidi namna unavyo mhudumia mteja" - Bernard Mwakililo #TOTAcademy#TOTBonanza
Darasa la Wajasiriamali limeanza hapa @ndotohub na anaye tufungulia darasa letu ni Ndg. Bernard Mwakililo, akielezea Juu ya Matumizi ya Teknolojia kwenye kukuza Biashara. #TOTAcademy#TOTBonanza
Baadhi ya Wajasiriamali wakiendelea kupata Ujuzi juu ya namna bora ya kuboresha Biashara zao, Mafunzo haya ni mueleko kwa Shughuli yenyewe ya #TOTBonanza Jumamosi tarehe 28-11-2020. USIKOSE!
Darasa linaendelea @TOTAcademy , Wajasiriamali wakipokea mafunzo kutoka kwa mbobezi wa masuala ya huduma za mtandao na kidijitali @GillsaInt , Wajasiriamali wamefundishwa njia na mbinu za kutumia ambazo zitawasaidia wanapofanya biashara za mtandaoni #TOTBonanza