Joyce Nangai, Mkuu wa Miradi na Mawasiliano akiwa na Albert Lukeisa Mkuu wa Mafunzo kutoka @ATE_Tanzania wakifuatilia Mechi za Mpira wa miguu kwenye Waajiri Health Bonanza 2023.
Karibuni wote kwenye viwanja vya Leaders Club kuanzia Leo mpaka tarehe 7 Oktoba.
#WaajiriBonanza2023
Let’s not be pretentious of good service, we need to embed it into our life and become part of us. It’s all about lifestyle of services. Use no more senergy to make it right.
ATE kama sauti ya waajiri tumeendelea kuunga mkono juhudi mbali mbali za Serikali kwenye kukuza ujuzi na kuchochea ukuaji wa ajira hapa nchini katika mipango yetu.
Suzanne Ndomba-Doran, CEO ATE
#Nactvetgaladinner
The Norwegian Ambassador to Tanzania, H. E. Elisabeth Jacobsen @NorAmbTz will be among the Panelist
Theme: “The Role of Digital Transformation in Enhancing Gender Equality in Tanzania’s Economy: Effectiveness, Challenges and Opportunities”
@femalefuture_tz#ALC2023
This afternoon, Thursday 19th January 2022, ATE Secretariat led by their CEO met with the ILO representatives at our Offices and had a brief conversation regarding various areas of collaborations for 2023. @ILO_EASTAFRICA@Wellington_ILO
The Female Future @femalefuture_tz training in Tanzania builds on the NHO’s flagship program Female Future. Since 2016, the program has provided leadership training to more than 200 women from Tanzania‘s private sector. - Her Excellency @NorAmbTz#FemaleFutureWabunge
Siku ya Leo kwangu ni ya mhuhimu na mafanikio makubwa kwani Mafunzo haya yalianza kutolewa katika sekta binafsi na leo tumeshuhudia yametolewa kwa Wabunge Wanawake hakika Niwashukuru wote waliofanikisha jambo hili. - Jayne Nyimbo Mwenyekiti wa @ATE_Tanzania#FemaleFutureWabunge
Yesterday Friday,26th August 2022, ATE CEO Ms. Suzanne Ndomba-Doran accompanied by the Head of Legal Services, Adv. Mercy- Grace Seuya attended Signing Ceremony of a Collective Bargaining Agreement (CBA) btn the Management of TCC Plc and TUICO @TuicoUnion@PNdalichako
Mpango wa Ushirikiano na taasisi za elimu na taasisi zakutoa mafunzo zinatusaidia sana katika maendeleo ya ukuzaji ujuzi na fursa za ajira kwenye soko. ~ Prof. John Kondoro, Mwenyekiti NACTVET
#NACTVET || #ATETanzania
Picha za makundi kwa wageni waalikwa, viongozi wa Bodi, wafanyakazi na wanachama wa @ATE_Tanzania waliohudhuria mkutano mkuu na kongamano, Leo Dodoma kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre.
#ATEAGM2022 | #ATETanzania