Taasisi Hii ni taasisii ambayo ipo kwa ajili ya vijana,watoto na wazee #Tanzania#Africa maana kamili ya Taasisi ni Taa inamaana mulikaaa jamii,#elimu#vijana
@mkongwe325 Lazima ushituke kwani zile asilimia 98% walizitoa wapi kama makamu muda mfupi tu anaaga mashindano mambo ni mengi sana Gwajiboy alisema huwez ongeza kwa hali hiyo
Hati ya mashtaka imetaja Lissu alitaka KUZUIA UCHAGUZI & KUKINUKISHA. Haya maneno ni (subject to interpretation) yanaweza kuwa na maana yoyote ile kutokana na mtu anavyoelewa. Lissu amewaambia majaji kuwa, aliletwa tu mahakamani pasipo wao (polisi) kumuuliza maana ya maneno hayo. Kwahiyo, Lissu yuko gerezani kwa sababu ya TAFSIRI binafsi ya Jeshi la Polisi.
Kupitia Katiba ya nchi, Sheria ya Uchaguzi, PENAL CODE & Kamusi ya Kiswahili, Lissu tayari ameshathibitisha mbele ya mahakama kuwa haya maneno yanayoitwa makosa ya jinai, hayajaandikwa kwenye kitabu au sheria zote hizi tajwa & pia hayapo kwenye sheria zote za Tanzania.
DPP kwa upande wake, ameshindwa kuleta ushahidi wa TAFSIRI ya maneno hayo kuthibitisha tuhuma dhidi ya Lissu. Hii hati ya mashtaka ina nguvu kubwa kuamua kesi hii.
The principle of legality ile Kanuni ya No crime without law (nullum crimen sine lege), yaani ili kitendo kiwe kosa ni lazima kitendo hiko kitajwe kwenye sheria kuwa ni kosa la jinai. Sula hili liwe ni muhimu kuzingatiwa na mahakama.
Limitations of common law crimes inakataza majaji kutengeneza kosa isipokuwa Bunge. Hili nalo lizingatiwe.
Tuendelee kujifunza...