VUNJO: Mkt Wa TLP Taifa Mhe Dk Augustino Lyatonga Mrema amehutubia Taifa akiwa kijijini kwake Vunjo wakati akitangaza nia ya kugombea Ubunge ili kumnadi Dk John Pombe Joseph Magufuli ili kumuhakikishia ushindi Wa kishindo @MagufuliJP@TaifaTlp@hpolepole
https://t.co/tb3ThFddzL
Hongera Rais @MagufuliJP na Serikali yako kutufikisha wananchi wako kwenye Kipato cha kati ( MICs ) kwa GNI per head kati ya $1,036 & $ 4,045,Lengo lilikuwa ni 2025 wewe umelifikia 2020,Hongera @WBTanzania kwa kusimamia ukweli,
#SisiTLPtukonaWewe#ChapaKaziTu@TZMsemajiMkuu
Karibuni sana TLP,
Karibu Oscar Kaindoa Kaijage
Karibu sana Bi Anna Dulle,
Karibuni tuijenge TLP,
Karibuni tumtetee Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli,
@ChademaTz@NccrHq@ACTwazalendo@bbcswahili
https://t.co/ruga2ixFNB
Nilipewa kesi ya Ugaidi mwaka 2013 nikakaa Gerezani Uyui miezi 4 kisa Chadema
Nikapewa kesi ya Uchochezi ya UKUTA nikakaa gerezani Bariadi siku 14 kisa Chadema hiihii
Nikapewa kesi Ya Uchochezi ya Mage Kimambi nikakaa Polisi siku 4 kisa Chadema
#Kaijage mwanachama Mpya Wa TLP,
Chama chetu kimempokea aliyekuwa Mkt Wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle,
Bi Anna ameishutumu vikali Chadema kwa kuendekeza vitendo vya Unyanyasaji Wa kijinsia hasa wakati Wa chaguzi,
@bbcswahili@darmpya@ChademaTz@hpolepole
https://t.co/ruga2ig4W3
Chama chetu kimempokea kada Wa muda mrefu na mwanachama kindakindaki Wa Chadema-Tanzania Kamanda Oscar Kaijage Kaindoa,
Mtakumbuka,Oscar Kaijage alikuwa Mkuu Wa Intelijensia Wa Chadema kanda ya Serengeti ( Shinyanga,Simiyu & Mara )
@ChademaTz@hpolepole@bbcswahili@darmpya_
Kwa hizi 1,602MW watumiaji Wa Umeme wameongezeka kwa 50%,Toka 35% mwaka 2015 hadi 85%,Kama Mradi Wa SG Wa 2,115MW Wenye thamani ya Tsh6.5T utakamilika jumla ya 3,717MW zitazalishwa ila ni 15% tu ndio bado inahitaji umeme,Hapo baadae,Lazima tuuze umeme nje #TamkolaTLP@MagufuliJP
Wakati Rais Magufuli anajenga SG yenye kuzalisha 2,115MW tayari ameongeza 564MW kwenye gridi ya Taifa na kufikisha jumla ya1,602MW toka1,038 sawa na ongezeko la 54.33%,Yaani ameongeza zaidi ya nusu ya Umeme wote uliozalishwa tangu tupate Uhuru kwa miaka 4 #TamkolaTLP@MagufuliJP
Mpaka trh 9.5.2020 tunapitisha azimio hili la kumuunga Mkono Rais Magufuli kuelekea Oct 2020 ni vijiji 3,155 tu kati ya 12,268 sawa 25.73% ndio havina Umeme,Wakati bei ameishusha toka Tsh177,000 mpaka 27,000 sawa na punguzo la 153%,TLP ni nani tusione haya?#TamkolaTLP@MagufuliJP
Tangu Uhuru ni vijiji 2,018 tu vilikuwa na Umeme kabla ya Ujio Wa Rais Magufuli,Miaka hii minne vijiji vipya 7,094 vimepata umeme nakufanya Jumla ya vijiji 9,112 kati ya 12,268 kumeremeta kwa Umeme sawa na74.3%,TLP ni nani hata tusione haya?#TamkolaTLP@MagufuliJP@TZMsemajiMkuu
Pesa hizi zimeajiri watoto Wa walalahoi 74,173 na watumishi 306,917 wameongezwa mishahara kwa njia ya Promotion ile hoja kwamba Rais Magufuli hajaongeza mishahara kwa miaka 5"Si ya kweli" huku madeni ya Watumishi ya Tsh 472.6B yakilipwa #TamkolaTLP2020@MagufuliJP@TZMsemajiMkuu
Rais Magufuli kwa kuondoa watumishi wenye dosari 32,555 Taifa kwa mwaka limeokoa Tsh 237.6B sawa na 1.01trl kwa miezi hii 51,Pesa hii ni sawa na bajeti ya dawa ya miaka 33 awamu ya 4 au sawa na Pesa yote ya elimu bure kwa miaka 5 #TamkolaTLP@MagufuliJP@TZMsemajiMkuu@hpolepole
Chama cha Labour Tanzania hakilitambui tamko linaloitwa lakumshinikiza #Msajili amchukulie hatua za kisheria MKT wa @ACTwazalendo Mhe @MaalimuSeif,Ifahamike hatuungi mkono #UCHOCHEZIWASEIFZANZIBAR ila TLP ni taasisi huru na kubwa inayoongozwa kwa vikao,Hakuna hicho kikao popote,
Kesho saa 3 asubuhi,trh15.06.2020, Makao Makuu TLP, Magomeni Usalama kutakuwa na utambulisho wa mwanachama mpya, Mhe Gharib Salim Mohamed ambaye anataka kugombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la MTAMBILE PEMBA,Unakaribishwa,Imetolewa na Michael Mrema Naibu Katibu Mkuu TLP Taifa
TLP tunaposema Rais Dk Magufuli JP anafanya makubwa lazima tuelewane,Hebu chunguza hii bajeti ya FY 2020/21
1.Mkopo wa Tsh 4.90trl=Ndani
2.Mkopo wa Tsh 3.04trl=Inje/Ndani
3.Misaada ya Tsh 2.87trl=Nje
4.Mapato ya Tsh 24.07 trl=Ndani
Yaani ni Ndani,Ndani,Ndani/inje kisha nje,
_____________________________
TAARIFA KWA UMMA WA TANZANIA
Hii ndio akaunti Rasmi ya TLP Tanzania karibu utufuate katika kupata habari za kweli na za hakika toka ndani na nje ya nchi yetu na ukijue zaidi chama chetu cha Tanzania Labour Parry ( TLP )
_________________________
Mwaka 2015 bajeti ya dawa ilikuwa Tsh 31bln tu,Mpaka mwaka 2019 bajeti ya dawa ilifikia 269bln sawa na ongezeko la 868% hii haijawahi kutokea tangu tupate Uhuru Dec 1961,Rais Magufuli JPM tano tena-Emmanuel Allute,Naibu Katibu Wa Itikadi na Uenezi TLP Taifa
TLP-TANZANIA itasimamisha wagombea Ubunge na Udiwani nchi nzima isipokuwa Urais ni Wa Dk John Joseph Pombe Magufulu tu,Nawaalika wale wote wenye sifa za Kuwa Wabunge na madiwani karibuni Mtangaze nia zenu ili kutimiza ndoto zenu, Dk Augusto Lyatonga Mrema Mkt wa TLP Taifa,
Kusanyo la mwaka mmoja la S/5 ni sawa na makusanyo matatu ya S/4
FY 2012/13=8T
FY 2013/14=9.28T
FY 2014/15=10.8T
Jumla Kuu =28 .06T
Rais Magufuli JPM kwa FY 2017/18 alikusanya Jumla ya Tsh 27.77T ambazo karibu Sawa na 28trl-Emmanuel Allute Naibu Katibu Wa Itikadi na Uenezi TLP