Rais Samia alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais alisisitiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki ya kufanyia biahara hizo-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
#Machinga|boda|bajaji Walindwe
Chama Cha Mapinduzi ndicho kimepewa dhamana ya kuongoza JMT na SUK,hivyo ndicho chenye mkataba na wananchi,tulioahidi kusimamia haki,usawa na fursa za maendeleo wakati wote na kuhakikisha upatikanaji wa Ajira kwa Vijana wetu-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
Chama cha mapinduzi kinatoa kauli hii "Marufuku ya waendesha bodaboda au bajaji sio muafaka bali ingetumia taratibu shirikishi kwa wananchi na viongozi wao hivyo CCM inasitisha mara moja Jambo hilo"-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM
#Machinga|boda|bajaji Walindwe
Chama Cha Mapinduzu kinaonya kuhusu utaratibu ulioanza kuibuka kwa mtu au mamlaka kuanza kutoa kauli au maagizo yasiyokihaki hali ambayo inaibua sintofahamu kwa wananchi wetu-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
#Machinga|boda|bajajiWalindwe
CCM inaelekeza kamati za siasa za Mikoa na Wilaya kuhakikisha kuwa maelekezo ya Mhe. Rais kwenye mikoa yao yanatekelezwa kwa malengo tarajiwa ikitokea haziendi vema na hazioneshi mafanikio kama ilivyo malengo ya Mhe.Raisi zitawajibika-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi
Kitendo cha kuwahamisha wafanyabiashara wadogo bila kuwawekea mazingira rafiki na mazuri. watakaofanyia biashara zao ni marufuku na haikubaliki-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
#Machinga|boda|bajajiWalindwe
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan alitoa malekezo kwa viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais Samia alisistiza upangaji huo uambatane na wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki yakufanyia biahara zao-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
#Machinga|Boda|BajajiWalindwe
Chama Cha Mapinduzi tunawapongeza wafanyabiashara wadogo almaarufu machinga kwa mapokeo yao mazuri ya maelekezo ya kuhamia maeneo rasmi waliyotengewa kufanyia kazi yatakayowanufaisha baadae-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
#Machinga|Boda|Bajajiwalindwe
Rais Samia alitoa malekezo kwa Viongozi kuwapanga upya wamachinga,Rais alisisitiza Upangaji huo uambatane na Wafanyabishara hao kupewa maeneo rafiki ya kufanyia biahara hizo-Shaka H Shaka Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi CCM-Taifa
#Machinga|Boda|BajajiWalindwe
#NANI KAMA SAMIA?
Awamu ya tano kwa miaka mitano HESLB ziliongezwa TZS 101BL na wanafunzi elfu 32 waliopata mikopo elimu ya juu,
Awamu ya sita kwa miezi sita zimeongezwa TZS 120BL na wanafunzi elfu 29 waliopata mikopo ya HESLB 2021|22 sawa na tofauti ya wanafunzi elfu 3.
CCM inaipongeza ACT Wazalendo kwa ushindi jimbo la Konde,Wilaya ya Micheweni mkoani Kaskazini Pemba na hiyo ndio siasa Safi,Kumalizika kwa chaguzi hizi ndogo za udiwani na ubunge zimetoa funzo kwa wenzetu katika uso wa demokrasia-Shaka H Shaka Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM
Kamati zote za siasa tumezielekeza kufuatilia na kusimamia Ilani ya CCM 2020|25 kwakuhakikisha fedha zote za mradi huu na miradi mingine yote ya Serikali inatekelezwa kikamilifu-Shaka H Shaka Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM
https://t.co/BHWuNv77Tb
Sehemu ya hotuba yangu kwa viongozi katika ngazi mbalimbali, nilipofungua mkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania, hii leo.
Msingi wa uongozi ni kutumikia wale unaowaongoza. Kafuateni sheria na miongozo ya serikali, mfanye kazi za wananchi.
Nakupongeza Ndg. Evariste Ndayishimiye kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Burundi. Wananchi wa Burundi wameonesha imani kubwa kwako. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano mzuri kati yetu. Nawatakia Warundi wote amani na ujenzi bora wa Taifa lenu.
Nimewaza sana aliyetengeneza hii video clip alikuwa anataka kutoa ujumbe gani kwa jamii!
Sijapata kwa hakika alilenga nini, ila kuna funzo kubwa sana hapa!
#NsumbaNtale
I said it in the Ethics Committee and let me say it again; The prevailing political climate calls for an Electoral Commission which is Independent, Representative and Transparent at both National and District level. I therefore strongly support all the voices to that effect.