JE WAJUA?
Baadhi ya vimeng'enya vipatikanvyo kwenye asali hufa vikikutana na kijiko cha aluminum (chuma) ??
Njian Bora ya kula asali ni Kwa tumia kijiko Cha mbao , Au ukishindwa kupata kijiko Cha mbao tumia kijiko Cha plastic.
@bevac_tz
@wizarayamaliasilinautalii
@funguo_tz
Mtaalam wa maabara @athumani shamte, akiwa anafanya majaribio ya mashine mbalimbali za kuainisha viwango na aina ya kemikali zilizopo Kwenye asali.
@bevac_tz
@beekeeping_foundation
@dar24media@funguo_tz
@wizarayamaliasilinautalii
Je wajua??
Asali ya asili ina wingi wa madini, vitamini na vimeng'enya ambavyo vyote vinalinda mwili wako dhidi ya bakteria na kuimarisha zaidi kinga ya mwili wako??.🔥🔥
.
.
.
.
.
@bevac_tz
@wizarayamaliasilinautalii
@beekeeping_foundation
@funguo_tz#beeforlife#beeshoney
JE, WAJUA?
Mizinga ya kigiriki ndio mizinga ya zamani zaidi inayojulikana, inaaminika kuwa mizinga hii ya zamani iliundwa na makapu na vibao vilivyolazwa juu ya kapu.vibao hivi viliweza kuhamishika lakini havikuwa na vipimo maalumu.
Contact: 0744344488
Je,wajua?
Nyuki wanaweza Kupiga Kasi mabawa Yao Mara 200 Kwa sekunde Moja wanapopaa,sauti tunayoisikia nyuki wanapopaa hutokana na miendeno ya mabawa Yao.
@TanzaniaBee@Dar24News
Je, wajua?
Nyuki ana uwezo wa kumpenda mtu ambae ataonesha Imani kwao (kutokuwa na hofu) baada tu ya kutambua Hilo nyuki anaweza kumpenda Kwa muda mfupi na kujenga uaminifu zaidi akiamini Si adui, hivyo kushindwa kumdhuru kabisa