Wadada hivo mlivokuwa mnajisikia mkipambania taji la Miss grand ndo sis (wanaume) huwa tunajisikia kila tukiangalia soka ...
Tukiwaambia tunalala kibanda umiza muwe mnatuelewa.
A big mistake becomes an even bigger mistake if the solution is just another mistake. Now a solution to a bigger mistake is where you need to pause the deepest in thoughts with both your mind & heart before you turn the bigger to be the “BIGGEST” mistake of your life.
Imebidi nianze kumfatilia huyu mtu @BenDoBrown ambaye amehusika kwenye Open Source Intelligence (OSINT) and Geo-Location Analysis kwenye report ya Larry Madowo.
The guy is absolutely good.
Hawa jamaa walijipanga 🙌🏻
Story tunayoijua ni yule kijana bado mdogo, anamiliki ghorofa, ndinga kali na biashara kubwa ya simu..
Huenda story tusiyoijua, ni dogo hana ubingwa, inshort PEPSI HAINA GESI..
Hadithi tunayoifahamu ni yule jamaa tajiri, ana ma Lori mengi town..
Huenda tusichokijua ni kuna roho nyingi zinamlilia mgongoni mwake,
Hana furaha, kiza kiingiapo ni mwanzo wa mashaka na upweke..
Story tunayoijua ni yule Binti hana kazi, ila vacation hazikauki kwenye ratiba zake..
Anaishi kwenye apartment ya gharama, bata za kila uchwao.
Huenda hadithi tusiyoijua ni yule manzi ni Mali ya umma,
Kwenye maisha tujifunze kuhusu mchakato, na sio tamaa zetu kuhusu matokeo..
Kila mafanikio tunayoyaona yana siri tuliyofichwa.✊
Story za kijiweni na @AziziKasese 👊 kwa laptop Kali na bei nafuu waone @chandolaptop
Tengeneza safari yenye njia na vituo bora ili itakapotokea hata pale unageuka kuangalia nyuma ulipotoka unafurahia na sio kujutia
Kila binadamu anasafari yake lakini safari yako ni muhimu zaidi ya safari ya mtu mwingine , hakikisha safari yako inakuwa bora kwa vile utakavyo ...
Muda hii agenda inaendelea mi nilikuwa offline ila ni hivi kipindi cha maandamano mi sijacheck mtu kwahiyo kama mlikuwa mna cut off wana kisa hiyo issue mi msijiulize mara mbili yani niwekeni kabatini mapema.
Tunahitaji kufikiri jinsi gani tutapata stable Internet connection bila haya mauzauza, hawa watu ni kama wanatufanyia favour wakati ni wajibu wao. Labda tujaribu Satellite Internet service provider wa Tanzania kama Konnect (Eutelsat), DataFlow Telecom, lakini hawa bado ni shida.
From @nickyrabit , Babu
1. Make sure unahifadhi ya chakula "Original - Mr Think in USD"
2. Make sure una ela cash au kitu unachoweza kubadilisha kuwa fedha
3. Make sure unakopesheka
Hizi nitaishi nazo sio leo co kesho , itakuwa ni blueprint kama ilivyo "Rich man in Babylon"
@elalemes Katika week chache zilizopita @nickyrabit alikuwa akisisitiza, make sure always uko na cash or something that you can easily liquidate (sell to get cash). It all makes sense now.
Don't give a f#ck about anything kama mwamba Mark Manson alivyosema kwenye kitabu chake Cha "The subtle art of not giving a f#ck" ...
Ila pia alisema " There's no such a thing as not giving a f#ck , choose your own f#ck to give" ...
Good morning Familia ✊🏾
Don't give a f#ck about anything kama mwamba Mark Manson alivyosema kwenye kitabu chake Cha "The subtle art of not giving a f#ck" ...
Ila pia alisema " There's no such a thing as not giving a f#ck , choose your own f#ck to give" ...
Good morning Familia ✊🏾
"EARNED NOT GIVEN"
Keep believing that you can , Waliofanikiwa wanakwambia aim high ili hata ukifail utakua upo juu bado ...
It's me - Your accountable partner in Fitness
@tanzanian_lad | Tanzanian Lad
Cc : @strongpoin_fintnesscentre
Via : Strong Buddy Competition
Karibu Tanzania Nchi Ambayo Binti Hawezi Kumvumilia Mpenzi wake Miaka Mi 3 Ajipange Kiuchumi ili Waanze Familia ila Anaweza Kumvumilia Mume wa Mtu hata Miaka 10 ili Amuache Mkewe Amuoe yeye.😂